Search results

  1. Queen V

    Nimegombana na Mke wangu leo mpaka nimeshangaa

    Kwahiyo inakuuma mjamzito kulala! Acha unyanyasaji. Mimba ni kitu cha kupita tu, miezi 10 maximum. Kuwa na huruma, mapenzi ni huruma. Halafu mnaosema ooh “flani alibeba kuni tani mbili akiwa na mimba” please stop. Mimba hazilingani, wanawake hawalingani! Just because wewe hujawahi kusumbuliwa...
  2. Queen V

    Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    This is true ila lemme tell you Lucha…kuzaa, kulea sio rahisi kama uonavyo. It changes you, your body, your likes, your beliefs, your priorities. Kwanza ni hadi mtoto afike kama 1 year ndo unafeel like yourself. Akili ya kuwa sexy unaitoa wapi yaani. Cha msingi, hakikisha mama ana msaada wa...
  3. Queen V

    Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

    Mange may not be 100% right but she is 90% right. Kuna wauzaji waaminifu ila kuna wapigaji kibao. Hizi iPhone "za Makumbusho" ununue at your own risk. Nilimpa rafiki yangu iphone yangu ya Makumbusho apeleke apple store US for fixing. Wakamuuliza "is this an iPhone?" Sirudii tena bora nitumie...
  4. Queen V

    #COVID19 Benki ya Dunia: COVID-19 imewarudisha Watanzania takriban 600,000 chini ya mstari wa umasikini

    Pia hawa wanaofanya issue za utalii wanatudharau wazawa. Sasa times kama hizi wazawa ambao bado tumejaaliwa vipato tungewainua.
  5. Queen V

    Hospital gani nzuri nitapata dermatologist hapa Dar

    Unataka hospital ndo iwe nzuri au dermatologist ndo awe mzuri?
  6. Queen V

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Hizo sifa za K ulizotaja haziendani na kuchelewa ku-ejaculate hata kidogo. Actually zitafanya uwahi kupitiliza. Chagua moja!
  7. Queen V

    Mtaalam wa Saikolojia anahitajika haraka

    Kikuchekeshacho nini?
  8. Queen V

    Mtaalam wa Saikolojia anahitajika haraka

    Hello, Anahitajika mtaalamu wa Saikolojia (Certified Counselling Psychologist) kwa ajili ya kazi ya muda. Aina ya kazi, malipo na mengineyo tutajadili huko. Tafadhali tuma PM. Asante.
  9. Queen V

    Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Mbona huna imani hata kidogo mkuu? Wamekukosea nini?
  10. Queen V

    Benki ya Dunia yasema Tanzania haikuwa serious na COVID19 mwaka 2020, yatushauri kujiandaa tu kabisa na ugawaji wa chanjo

    Kinachoshangaza, wajawazito wanachanjwa, watoto wanachanjwa, watoto wa kike wanapewa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi ila ikija wa COVID ndo watu wanaleta uelewa wa chanjo. Kama kweli chanjo zinadhuru mlikuwa wapi wakati tunachomwa nduiii!????
  11. Queen V

    Benki ya Dunia yasema Tanzania haikuwa serious na COVID19 mwaka 2020, yatushauri kujiandaa tu kabisa na ugawaji wa chanjo

    World Bank imetuchamba kizungu: Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi. Mara Warwick amesema katika hotuba yake kuwa Serikali ya Tanzania ilichukua hatua za mapema za kuondokana na athari za kiafya na kiuchumi za COVID-19 ingawa zilikuwa za kawaida sana na za muda mfupi kulinganisha na nchi...
  12. Queen V

    Hatimaye Elizabeth Michael "Lulu" na Francis Ciza "Majizzo" wafunga ndoa baada ya uchumba wa miaka miwili na nusu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Ile ndoa iliyosubiriwa sana na kusemewa maneno mengi hatimaye imefungwa. Lulu na Majizzo wameoana leo kanisa la mtakatifu Gasper na inasemekana wako Serena hotel hivi sasa wakipiga picha. Ikumbukwe Lulu alivalishwa pete ya uchumba kama suprize kwenye sherehe...
  13. Queen V

    Tafadhali msaidie mtoto Gwakisa aweze kupata matibabu

    Kuna watoto wanateseka jamani. Mungu ambariki
  14. Queen V

    Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

    Correction Hakuna Mbunge aliyewahi “kuombwa” na wananchi awawakilishe. Wabunge ndio huomba na wananchi huwapa ridhaa. Hii mentality ya Mbunge kuonekana ni hero au messiah flani ndo inatucost kama nchi.
  15. Queen V

    Ukikataliwa na mwanamke zama hizi jitafakari sana.

    Wanaume nanyi bwana. Yani sisi ndo tutawaua? Nyie mnaoacha hadi watoto huko kwa kungonoka chukuchuku? Ungebaki kwenye mada ya wepesi wa kutongozeka; hapo kwa wanawake wa ndoani kutoka nje wanaume hamna moral authority ya kutukemea maana mmetufundisha.
  16. Queen V

    Dini zinazoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja zinazungumziaje suala la “threesome”?

    Nisamehe. Mi nilidhani na wewe unafanya sex kama sisi ile ya kukiss, kulambana, kunyonyana na kupapasana. Kumbe unafanya ya kitakatifu ya kugusanisha hasi na chanya tu kisha mnalala.
  17. Queen V

    Dini zinazoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja zinazungumziaje suala la “threesome”?

    Kweli unaamini wanawake wanaliwa tigo kwa sababu wanaangalia pornography? Kwamba mambo ya kuliwa tigo yamekuja na teknolojia ya multimedia? Mmhh??!!!!
  18. Queen V

    Dini zinazoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja zinazungumziaje suala la “threesome”?

    Hivi kama mtu ni wa kufukua mitaro au kunyonya vinyeo si anaweza kufanya hata na mke mmoja!!! Kweli kufukua mtaro lazima uwe na wake wawili? Naelewa hufurahishwi na idea ya mume kufanya mapenzi na wake zake kwa pamoja ila sababu unazotoa hazina mantiki.
  19. Queen V

    Dini zinazoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja zinazungumziaje suala la “threesome”?

    Mkuu, usi-judge sana wanaoangalia porn wakati nawe unayajua yote yanayofanyika kwenye pornography ikimaanisha kuwa unaangalia pia. Au unataka kusema ulisimuliwa?
Back
Top Bottom