Search results

  1. Yonjolo

    Pata english kozi bure hapa!!

    Angalizorwe turwe, usijisahaurwe hukorwe
  2. Yonjolo

    Pata english kozi bure hapa!!

    Nimeanzarwe kufanyarwe mazoezirwe, nirwe fullrwe vitukorwe. lugharwe ganirwe hiirwe mkuurwe?
  3. Yonjolo

    Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

    Nakugongea "like" mkuu. Kama watanzania walionesha nia njema kwa nchi yao kwa kukipiga chini chama cha mapinduzi ni dhahiri kabisa bwana pasco unawakosea watanzania na unapaswa utuombe radhi. Mimi naamini tulifanya sehemu yetu lakini kwa bahati mbaya wao ccm wameushikilia mpini kwa mabavu...
  4. Yonjolo

    mahakimu wananyanyasika

    Ha ha ha.. hizo karibu za kinafiki.
  5. Yonjolo

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    . . . . . . .
  6. Yonjolo

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    mia iko wapi?
  7. Yonjolo

    Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

    Bila shaka imekatwa VAT
  8. Yonjolo

    Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

    Duh! Kumbe. Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni
  9. Yonjolo

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Safi sana Presidaa Slaa. Najua penye vichwa kama ww hakiharibiki kitu. Safari inaendelea, ila utumegee uliyomwachia jk ili tumbane maana hachelewi kuchakachua huyo
  10. Yonjolo

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Mkuu hapa hakuna cha kujadili mpaka tupate walichoteta zaidi ya yote waache watu wajinafasi na mafotooooz
  11. Yonjolo

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    CHADEMA ni sauti ya watanzania. Hapa jk anakusanya points za watanzania kupata KATIBA iliyo MAKINI
  12. Yonjolo

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Ikulu ni ya Slaa(urais), Jk mpangaji tu na dalali wake cjui nani? Hapa ninauhakika anahojiwa aliye mpa funguo za nyumba nani(madaraka)? Cheki hiyo foto ya kwanza uone mpangaji anavyo chekacheka
  13. Yonjolo

    Hivi wakina dada KIVAZI cha aina hii huwa mnashindaje nacho?!!

    Kaka P unaonaje kesho utupie 'pampasi' zake?
  14. Yonjolo

    Hali ngumu ya maisha: Kwanini watanzania ni watamu ktk kuongea lakini kutenda waoga?

    Amani iwe kwenu wana Jf wote. Kilio changu leo nakirudisha kwetu wenyewe watz kuhusiana na hali ya maisha yetu kuzidi kuwa mbaya. Tukiangalia swala la umeme lipo wazi hakuna mtanzania anayepata nafuu, sasa tumekuwa watamu ktk kuongea pembeni huku tukiacha kuchukua hatua Kama tumeweza kuwapa...
Back
Top Bottom