Search results

  1. Dalton elijah

    Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika. Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango...
  2. Dalton elijah

    Abidjan: Omba Omba wapigwa Marufuku ili Kupambana na Fujo za Mjini

    Jiji kuu la Ivory Coast, Abidjan limetangaza kupiga marufuku ombaomba ili kupambana na "fujo za mijini". "Ili kupambana na fujo za mijini, biashara za kutembea kwenye barabara kuu, kuombaomba kwa namna zote, na matumizi ya mikokoteni sasa yamepigwa marufuku rasmi katika wilaya nzima," alisema...
  3. Dalton elijah

    Kampuni imebuni namna ya kutumia teknolojia ya AI kama njia ya “kufufua” wafu na kuwaunganisha na wapendwa wao walio hai

    Kampuni hiyo kutoka China imekuwa ikitumia teknolojia inayoiga akili ya binadamu (AI technology) kubuni nafsi ya kidijitali ya aliyefariki na kuwezesha jamaa zake kuwasiliana naye jinsi ilivyokuwa kabla ya kufa kwake. Teknolojia hiyo imesifiwa na wengi kwa kuwa inawapa waliofiwa faraja ya muda...
  4. Dalton elijah

    Riba ya Benki Kuu yaongezwa hadi 6% kukabiliana na Mfumuko wa Bei

    Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6. Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
  5. Dalton elijah

    TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
  6. Dalton elijah

    Yanga SC left stranded after bus breaks down near airport

    Tanzanian side Yanga SC faced a frustrating start to their stay in South Africa after the team’s designated transport, provided by hosts Mamelodi Sundowns, broke down just 5 kilometres from OR Tambo International Airport. Young Africans arrived in Johannesburg on Tuesday morning after taking a...
  7. Dalton elijah

    Uchambuzi Game kati Yanga

    ✍🏻Mamelodi leo walionesha kitu ambacho mara nyingi wanakionesha Brighton ( kwenye build up ) kipi hiko ?Kukuvuta uende kuwafanyia pressing ( Baiting the press ) na kwanini hivyo ? 1: Ni kwamba wanapasiana taratibu nyuma pasi fupi fupi dhamira yao uende ukawafanyie pressing ili space ifunguke...
  8. Dalton elijah

    Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  9. Dalton elijah

    Dkt. Mpango ahimiza ubunifu sekta ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, amepongeza jitihada za taasisi zote za sekta ya fedha nchini kuhimili vihatarishi vyote vilivyojitokeza na kufanya sekta hiyo kuwa imara na himilivu kwa kuongeza ubunifu na uwezo wa kubadilika kuendana na mazingira...
  10. Dalton elijah

    Askari wa Marekani aliyejichoma moto nje ya Ubalozi wa Israel afariki

    Askari wa Jeshi la wanahewa la Marekani ambaye alijichoma moto siku ya Jumapili nje ya Ubalozi wa Israeli huko Washington kupinga operesheni ya kijeshi ya serikali ya Kiyahudi huko Gaza amekufa, Pentagon ilisema hapo jana (Jumatatu). Msemaji wa Jeshi la Wanahewa Rose Riley alisema mtu huyo...
  11. Dalton elijah

    Utofauti wa watu wa Dar na watu wa Mikoani ni huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  12. Dalton elijah

    Idadi ya vifo kwa Waandishi wa Habari imeongezeka zaidi mwaka 2023

    Idadi ya waandishi wa habari walio fariki mwaka jana, imefanya 2023 kuwa mwaka mbaya zaidi katika muongo mmoja kwa wafanyikazi wa vyombo vya habari. Shirika lisilo la kiserikali Press Emblem Campaign (PEC) yenye makao yake makuu mjini Geneva ilitangaza hapo jana (Jumatano). Kulingana na PEC...
  13. Dalton elijah

    Nation’s 1st Home-built Large Cruise Ship Undocks

    This aerial photo taken on June 6, 2023 shows China's first domestically-built large cruise ship "Adora Magic City" in east China's Shanghai. (Photo/Ding Ting, Xinhua) China's first domestically built large cruise ship, Adora Magic City, completed its undocking in Shanghai on Tuesday, bringing...
  14. Dalton elijah

    Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  15. Dalton elijah

    Daktari Philip Isdor Mpango, kwanini unawasuta Watanzania wanaokupenda waliokuwa wanakuulizia ulipo?

    Prof Chachage Seithy Loth Chachage - alitumia neno ‘Collective Imbecilization’ kueleza uzuzu, ubwege, ufala wa pamoja unaoweza kufanywa na serikali Hili jaribio la kuwapumbaza watu mamilioni kwa mpigo. Ni kama vile kuwakusanya watu milioni 50, ukawaweka ndani ya ukumbi mmoja kwa ukubwa huo...
  16. Dalton elijah

    Msaada: Ndugu yangu amepoteza cheti cha kidato cha nne

    Ndugu Yangu Amepoteza Cheti cha Form Four Ambacho Alitakiwa Kwenda Chuo Lakini Ameshindwa. Nauliza Kama kutakuwa Na Njia Mbadala Ambayo ataweza Kutumia Ili Kupata Hicho Cheti. Na Njia Gani Ambazo Anaweza Tumia Ili Cheti Kupatikana. Napenda Kuwasilisha Mawazo Yangu.
  17. Dalton elijah

    Arudisha pochi ya fedha

    Msichana mmoja huko Cuxhaven, pwani ya Bahari ya Kaskazini nchini Ujerumani amerudisha pochi iliyokuwa na yuro 7,371.04 ambayo ni sawa na shilingi milioni 19,164 za Tanzania. Msichana huyo alimrudishia mmiliki wa pochi hiyo bila ya kuchukua fedha hizo. Polisi wa eneo hilo wamesema kwamba...
  18. Dalton elijah

    “Harufu ya ufisadi SGR kipande cha 6 Tabora-Kigoma”

    Dec 20, 2022 serikali ilisaini mkataba wa ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma kilometa 506km. $2.7bn (Sh6.34 trilioni) na ujenzi huu unatarajiwa kuchukua miezi 48. Kwa kusaini kipande hiki, Serikali itakuwa imewekeza $10.04bn (Sh23.3 trilioni) kwa awamu ya Dar-Mwanza na Tabora-Kigoma. Waziri wa fedha...
  19. Dalton elijah

    Yanayotokea yanathibitisha Rais Samia hakuwahi kujiandaa kuwa Rais, ataliacha taifa pabaya kuliko alipolikuta

    Na Mwl, John Pambalu Waswahili wanao msemo usemao kuwa, "Asiyejua aendako, njia yoyote itamfikisha anakokwenda". Ndiyo maneno mafupi ninayoweza kuyatumia kumuelezea Rais Samia ambaye mwanzoni alionyesha sura ya uungwana, udemokrasia na uadilifu lakini taratibu ameamua kuachana na mkondo huo na...
  20. Dalton elijah

    MJADALA HURU

    Klabu ya Yanga bado inatumia picha ya Fiston Mayele kwenye cover ya ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Facebook ilihali nyota ni mchezaji wa Pyramids. Hii imekaaje kitaalamu, ni sawa au sio sawa??
Back
Top Bottom