TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA
Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zake katika eneo la kuendeleza matumizi bora ya...
MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga mikakati ya kuimarisha ulinzi kwenye miradi ya kimkakati inayosimamiwa na Wizara ya Nishati.
Kikao...
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa kiasi cha megawati 2,115 umefikia asilimia 80.2
Naibu Waziri Byabato ameyasema hayo tarehe 17...
Shilingi Bilioni 38 kurekebisha hali ya umeme wilayani Urambo
Waziri wa Nishati,Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 38 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme wilayani Urambo Mkoa wa Tabora pamoja na njia ya kusafirisha umeme ya kV 132 kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.