Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii
Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
Exactly tunataka walipwe pia walau , mbunge kwa mfano analipwa na amepigiwa kula, raisi amepigiwa kula analipwa , sheria ya nchi katika ujira imeelekeza mshahara wa kima cha nchi kwa wafanyakazi hadi wale wa majumbani lakini viongozi hawa wanasahaurika kabisa kama sio wafanyakazi, lakini...
utangulizi
Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji.
Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.