Search results

  1. K

    Kweli duniani kuna visa .....

    Hapa kwetu si kitu rahisi maana ni vigumu kujua muda wa kazi ni upi na muda wa lunch ni upi,vyote vinafanyika wakati woote!! Kipimo cha kazi huku kwetu sehemu nyingi hasa taasisi za umma ni kusaini kitabu cha mahudhurio wakati wa kuingia kazini ambacho hata hivyo huwa akisainiwi wakati wa...
  2. K

    Kweli duniani kuna visa .....

    Hapa kwetu si kitu rahisi maana ni vigumu kujua muda wa kazi ni upi na muda wa lunch ni upi,vyote vinafanyika wakati woote!! Kipimo cha kazi huku kwetu sehemu nyingi hasa taasisi za umma ni kusaini kitabu cha mahudhurio wakati wa kuingia kazini ambacho hata hivyo huwa akisainiwi wakati wa...
  3. K

    Mambo ya umaarufu

    Zis iz hau breini weks!!!
  4. K

    So sad jamani!!!

    Duh!si mchezo,hiyo oxygen therapy ilikuwa administered at home?!ni chibokooooo!!!!
  5. K

    Ninawasalimu katika upendo na amani.

    However sharp my teeth are! I can not bite water!!!he that would make his own liberty secure,must guard even his enemy from opposition,for if he violates this he establishes a precedence that will reach himself!!!!!!!
  6. K

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    kuna kila dalili za uongo kwa mtoa mada!!huyo dada ni mwembamba kiasi gani?na alikuwa amesambaza miguu kiasi ambacho 1% ya mwili wake ionekane?na umbali kutoka mlangoni mpaka alipokaa ni mita ngapi mpaka uipate hiyo view??!!HAKUNA UKWELI HAPO,UNAAMSHA HISIA ZA MALIJALI TUUU HAPA!!
  7. K

    "kama kesho umeingia chumbani kufanya nini?`

    Hapo mwanaume ndio tatizo!!labda kazoea kucheza mashindano ya kombe la mbuzi!!huyo girl friend wake hakumkatalia na ndio maana aliingia chumbani,ninachohisi hapo jamaa alianza kuomba tena kile alichoomba mpaka demu akaingia room!!loh!kosa kubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. K

    Swali kuhusu Kuchinja maiti

    Kweli mtoto asiyewahi kwenda nje ya kwao,anajua ni mama yake tu ndiye anayejua kupika!!!kinachonifurahisha hapa ni kuwa mtoa mada anahakika na kufanyika kwa jambo hili,kinachomtatiza ni kwa nini jambo hili lifanyike?!vuta subira maana ukitaka mkate uloiva shurti uvumilie joto la bekari.
  9. K

    Kati ya mambo haya, ni jambo gani linalokuvutia?

    Ni kweli list iko biase!!!!
  10. K

    Ninawasalimu katika upendo na amani.

    Ndugu zangu natumai hamjambo. Nimefarijika sana leo tarehe 19 januari 2012 kufanikiwa kujiunga nanyi wana jamii forums! NINA IMANI TUTAFANYA KAZI PAMOJA KUWAHUDUMIA WATU WETU.Asanteni
Back
Top Bottom