Search results

  1. M

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Habari yako CPA OKW BOBAN SUNZU, vipi financial year hii vitabu vya Ki Aziz vinasomaje huko?
  2. M

    Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Hii ndio dawa ya uhakika. Mimi binafsi huwa nakunywa kahawa ile ya uswazi hapo hilo tatizo litakuwa historia Amforeal
  3. M

    Umebahatika kukanyaga ardhi za mikoa mingapi hapa Tanzania?

    1. Arusha 2. Manyara 3. Kilimanjaro 4. Mara 5. Simiyu 6. Shinyanga 7. Kigoma 8. Tabora 9. Katavi 10. Singida 11. Dodoma 12. Morogoro 13. Pwani 14. Dar es Salaam 15. Mwanza 16. Lindi 17. Mtwara 18. Kagera 19. Geita. Bado sijafika: 1. Njombe 2. Iringa 3. Tanga 4. Rukwa 5. Ruvuma 6. Mbeya Na mikoa...
  4. M

    Msaada: Naomba kujuzwa dawa ya kuua na kufukuza popo

    Umepiga fisher boards? Nilikuwa na hili tatizo ila niliamua kupiga Fisher boards likaisha lakini siku ya kupiga Fisher boards fundi alipanda juu kuwafukuza.
  5. M

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Ahsante sana kaka. Shukrani
  6. M

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl.RCT natafuta product inaitwa "Similac Human Milk Fortifier", please assist.
  7. M

    Azania Sec. School Best Student (Mathematics) Award

    Mzee umefukua uzi wa 2013 ha ha ha [emoji23]. "In the having of peace Azania stand at ease, to waken, strengthen, feeds our hungry minds " .....You are known far and wide.....we will never forget you" ....lilikuwa bonge la school anthem.
  8. M

    Msaada wa kuagiza vitu kutoka nje

    Mkuu cheki huu uzi. Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
  9. M

    TANZIA: Mtangazaji mkongwe aliyewahi kutangaza Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani, Florian Kaiza afariki

    Mkoa wa Kagera. Ipo mpakani mwa Tanzania na Uganda. Kyaka na Mutukula yalipopambana majeshi ya TZ na UG zipo wilaya ya Missenyi.
  10. M

    NIMEPATA MTOTO WA KIUME

    Hongera sana mkuu. Kwanza zidisha upendo kwa mama yake, jitahidini mtoto anyonye maziwa ya mama yake tu kwa miezi sita ya mwanzo. Hakikisheni anapata chanjo zote kwani ni muhimu sana,analazwa kwenye chandarua ili kumkinga na malaria na msiruhusu abebwe hovyo na kila mtu wengine wana mafua makali...
  11. M

    Maisha bwana: Waliokata kuchangia harusi yangu leo hii nimeombwa niwachangie harusi yao

    "Akupigae ngumi ya jicho nawe mpige ngumi ya sikio. Akikuuliza unajionaje nawe muulize unajisikiaje." In FidQ voice.
  12. M

    Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

    Aza Boy. Ulinitangulia vidato vi3 mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Nimewatafuta ndugu zangu tuliochangia baba lakini hawaoneshi kufurahishwa na uwepo wangu

    Pole kiongozi. Tafuta wengine ila huyo mwenye majibu ya hovyo achana naye. Mpende akupendae asiekupenda achana nae....pia udugu si kufanana bali kufaana.... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    IFM alumni...!!!!

    Duh! Mungu amsamehe madhambi yake. Maisha yangu ya QM/QT aliyarahisisha mno.
  15. M

    A CPA holder is looking for a job/volunteer

    Pole mkuu. Mapito hayo Mungu atakufungulia.
Back
Top Bottom