Search results

  1. Ikoko

    Hivi kwanini Mabasi kutoka Dar kwenda Mpanda, Katavi yanazuiwa kuendelea na safari yakifika Sikonge, Tabora?

    Wadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa. Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara...
  2. Ikoko

    Hizi Parking fee za TARURA mbona wanabambikia?

    Huu utaratibu wa hizi Parking fee ukoje? Kwa zaidi ya mara mbili nawekewa karatasi ya kulipia parking fee, na kila nikimuuliza dada muhusika ananiambia nilikuwa maeneo fulani na fulana kwa tarehe hizi na zile wakati hayo maeneo sijawahi kabisa kufika na kipindi hicho gari ilikuwa ndani imepaki...
  3. Ikoko

    Mahakama ya Afrika: Nchi wanachama hazitekelezi hukumu zinazotolewa na mahakama, why?

    Nafuatilia taarifa ya Habari UTV Azam. Jaji wa mahakama ya Afrika anaeleza kwamba leo wametoa hukumu zaidi ya kumi zinazohusu mashauri ya nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Hata hivyo jaji anasema, tena kwa unyonge kabisa, kwamba changamoto kubwa ya mahakama hiyo ni nchi wanachama kugomea...
Back
Top Bottom