Search results

  1. N

    CHADEMA yasisitiza kufanya maandamano kesho ya amani

    Hahhhaa nimeipenda hiyo. Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Wanawake kama ndio mnadanganyana hivi kututeka wanaume mwenzenu nimeng'oa meno

    hahahaha duh! Mbavu zangu! Et nn kakutia dole!?
  3. N

    Msaada: Nahisi tarehe ya usaili shirika la Posta imekosewa

    Namba yao ni +225222121150 na positioni ni legal officer ii.
  4. N

    Msaada: Nahisi tarehe ya usaili shirika la Posta imekosewa

    Wadau salam, samahani nimepigiwa simu na watu wa shirika la posta Tanzania mda huu kwa ajili ya kuhudhuria interview kesho tarehe 18 na baada ya kumaliza kuongea akakata simu. Sasa tatizo nahisi labda kakosea kuniambia tarehe maana kwa hali ya kawaida mtu anaweza pigiwa simu kwa ajili ya...
  5. N

    masada.

    Jamani naomba mwenye kuijua namba hii 0784105582 anifahamishi kwani nimekuta missed call na najaribu kuipigia naambiwa haipo, kwa hiyo nahofia inaweza kuwa nilikuwa naitwa kwa ajili ya interview mahali
  6. N

    Describe your ex using movie titles

    Woman Of Principle.
  7. N

    Nini maana halisi ya usaliti?

    Amuache faster mana kama leo katuma copy kesho atapeleka original.
  8. N

    Ushauri!

    sijawahi mkuu ndo mana nimeshtuka.
  9. N

    Ushauri!

    Habari za wakati huu wadau? Samahani kuna jambo limenitatiza naombeni mnisaidia kabla sijaingia mkenge. Kuna ujumbe wa maandishi(sms) nimepokea kutoka kweny no. +255786899116, unaosema +12068553227: YOUR MOBILE NO HAVE WON ($.550,000.00 DOLLARS)COCA-COLA FIFA WORLD CUP...
  10. N

    Taja jina la mtu ambalo ukilisikha linakuchekeshaga

    Liku malangu. Ni binti niliyesoma nae o-level.
  11. N

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Hongera wewe kwa kuwa na kazi lakini kumbuka ulipata kazi ukiwa huna kazi mana hamna mtu anayezaliwa na kazi. Kwa hiyo tuache tusubiri mana Mungu ndo anayejua na siyo wewe unayejifanya mtabiri.
  12. N

    Teachers‘ Junction

    Ninauwezo wa kufundisha masomo ya English na Geography na ninauzoefu wa mwaka mmja na miezi minane nikifundisha masomo haya kwa ngazi ya secondary ila profession yangu ni sheria (LL.B) na nipo Arusha. Ninaomba kama naweza pata kazi ya kufundisha masomo haya no. yangu 0754037153.
  13. N

    Msaada: Gharama ya postgraduate.

    Wana jf poleni na mihangaiko na siku nzima ya leo. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa gharama ya postgraduate ya ualimu ni kiasi gani serikalini.
  14. N

    Anahitajika mwalimu wa Geography na English

    Sina diploma ya education ila nishawahi kufundisha masomo haya kwa mwaka mja. Elimu yang shahada ya kwanza ya sheria ila napenda sana kufundisha. Nawasilisha kama inafaa.
  15. N

    Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    Hao cy watu ni mashetani waachie nyumba ukapange.
  16. N

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    ahsant mkuu.
  17. N

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    it was not real official bt mtu aliyesema alijitambulisha kama yy anafanya kaz uhamiaji.
  18. N

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Samahani wadau wana JF. Nilisikia kuwa mpaka tarehe 21 mwezi huu uhamiaji wangekuwa ameanza kutoa majina (shortlist) lakini naona kimya au ni mimi tu ndo sijui? Msaada please. Nawasilisha.
  19. N

    Msaada wenu unahtajika waungwana

    Duh! Naye alifikilia sawa bhana.
Back
Top Bottom