Nilikua nakuona mtu makini sana, lakini hoja zako za hivi karibu umedhihirisha kuwa ni mganga njaa tu. Urusi ni nchi ya pili kwa uzalishaji wa mafuta duniani na soko lake kubwa ni ulaya baada ya vikwazo vinavyotokana na vita ya Ukraine nchi nyingi za Ulaya zimeanza kuagiza mafuta uarabuni hivyo...
Nyinyi vijana hayo maisha chuoni ni kawaida, mwaka 2006 au 2007 hapo UDSM kuna masela (wanachuo) walikua wanaiba laptop engineering. Kuna siku walienda kuiba pale karibu na NMB baada ya walinzi kuwashtukia jamaa (jina namhifadhi) akaruka kutoka ghorofani ili akimbie akavunja mguu anakadakwa na...
Acha hoja za ajabu, huwa unatibiwa na madaktari kutoka mwezini? Mtu anayelaumu mfumo wa elimu ambao yeye ni zao lake tutamuamini vipi? Ndio maana hata yeye amekariri hoja ya miaka ya 1960.
Marekani imeendelea kwa TEHAMA haifanyi hivyo. Ukiambiwa uwiano ni mwalimu mmoja kwa wanafunzi 40 maana yake sio kufundisha tu, mtaala wa elimu una mambo mengi.
Mkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.
Mashabiki wa timu hizi wapo tu na utawaona wengi au wachache katika kipindi cha mafanikio tu. Wakati wa Manji Mashabiki wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.