Search results

  1. M

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Nina imani kubwa sana na viongozi hawa wawili, yaliyotokea ni tofauti za kawaida ndani ya chama. Naiombea CDM iendelee kuwa imara na wahusika warudi kukiimarisha chama. Bila upinzani madhubuti, nchi itayumba
  2. M

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    Tu njia moja, yeye katangulia sisi tunafuata. Siku ikifika, imefika na uoga unakuja kwa kuwa hatujui tuendako. May God R.I.P. Wasimon.
  3. M

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    Poa mtu wangu, wala usi mind kwani sote tu njia moja kama vipi hicho kifo kipotezee kwani kila nafsi itaonja tu. R.I.P Wasimoni, see U there!
  4. M

    UTUKUZWE MUNGU kwa kunijalia mtoto wa kiume...

    Mzee Mwanakijiji, Mungu akupe busara katika malezi mema!
  5. M

    Mbunge amtunishia msuli DC!

    Ni udhaifu wa viongozi wetu kila wanaposhindwa na kuishia kutoa visingizio vya wapinzani! kukosolewa ni sehemu ya maendeleo na kioo cha kupijima wapi umekosea na kujisahihisha.
  6. M

    Hii sasa Imezidi: Dr. Kitila Mkumbo kupandishwa kizimbani kwa Uchochezi!

    Kama kuna tofauti kati ya Mwigulu na Mkumbo ingependeza wazimalize kwa manufaa ya Wana Iramba. Kwa hizo tofauti zao, hukumu nzuri itatolewa na wana Iramba siku ya uchaguzi 2015 na sio kwa kutumia polisi. Kwa kuwa wote wako hapa jamvini basi walione hili kuwa wanao athirika ni wananchi wa Iramba...
  7. M

    Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

    Tanzania ni Nchi yangu na wala sikuichagua! Napenda niishi maisha marefu ili nione hatma yake pamoja na watu wake hususan wanaofikiri kuwa wataishi milele bila kufa!
  8. M

    Mgomo wa walimu kuanza july 07,2012.

    Kwa ufahamu wangu mgomo wa Waalim uko siku nyingi, ila nadhani bado tu kutangaza kwa vinywa vyao au maandamano. Tofauti ya mgomo wa Madaktari na Waalim ni immediate impact ya mgomo, Madaktari wakigoma basi wagonjwa hufa ndani ya masaa 24 au baadaye kidogo tu, lakini walimu wakigoma basi impact...
  9. M

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Kifo cha mwanadamu hupangwa na Mungu, kwa kipigo kile dhidi ya Dr. Ulimboka hakustahili kuwa hai kwa mapenzi ya kibinadamu bali ni kwa Mapenzi ya Mungu! Lisilo wezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana! Ni Mapenzi yake aliyejuu na ndiye anaye jua hatma ya Dr. Ulimboka pamoja na hao watesaji...
  10. M

    Star TV LIVE: Mapitio ya Mjadala wa Bajeti

    Yatajadiriwa kwenye marekebisho ya katiba, wa TZ wataamua hatima yao.
  11. M

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    Nina imani huyu siye Nnape halisi kwa sababu yeye si kawaida yake kujibu papo kwa papo na hata akitoa hoja huijia baadaye sana na kwa majibu yasiyo mpasho. Huko siku za nyuma niliwahi kumshauri yule Bw kipendekezi ajaribu kuiga mfanowe.
  12. M

    Mutungirehi: mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Kimalando, jaribu kurekebisha kumb zako. Benedict Mtungirehi alijiunga na UDSM ktk mwaka wa masomo 1992/93. Alipokuwa second year 1993/94 ndipo alipochaguliwa kuwa DARUSO president.
  13. M

    Mutungirehi: mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    He was DARUSO president year 1994/95
  14. M

    Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    Pole sana Mpambanaji 30, hakika hayo ni mapenzi ya Mungu naye atakuinua urudi kuwapigania waja wake.
  15. M

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    JK never fails in negotiation and this was expected, if you don't agree with this, ask Kenyans. They know him very well. We've lost our fellow Tz lives unnecessarilly for things that would have been solved soft on the table.
  16. M

    Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

    Mungu wetu aliye juu ni mwema,atakuponya uendelee na kazi zako za kila siku!
  17. M

    Jamani madent mliopita shycom mupo jamvini?

    Bado yupo, nadhani ndiye makamu wa mkuu wa shule. Si unajua siku hizi si chuo tena!
  18. M

    Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

    Kampeni ya Mgombea, Ushindi wa Mgombea na Kutangazwa kwa Mgombea aliyeshinda siyo lazima viende kwa Mgombea Mmoja!
  19. M

    Dawasco

    Weka namba yako, watakupigia!
  20. M

    Dk Stephen Ulimboka Jembe na Nguzo ya MADAKTARI Nchini

    Hakuna upande wowote unaofaidika na huu mgomo; si serikali si Madaktari wala sisi tunaochangia hapa. Sidhani ktk Nchi yenye demokrasia ndani ya 50 yrs ya uhuru ishindikane kupata muafaka, hata ifikie kupoteza uhai wa wenzetu. Kwa ambaye hajaathirika na huu mgomo ni raisi sana kuchochea na kusema...
Back
Top Bottom