Search results

  1. H

    SIOI adhihirisha Ukomavu wa kisiasa na demokrasia kwa CCM, Aahidi kumsaidia Nasari kuleta maendeleo

    sina hakika kama ana maanisha hayo ayasemayo kama nape kakubali yeye ni nani ayakatae?
  2. H

    Bikira ni kigezo cha kumpenda mwanamke?

    katika jamii nyingi msichana anapokutwa na bikira hueshimiwa sana pia kwa upande mwingine niulize swali kama ukimkuta msichana na bikira na ukaiondoa yaani ukamubikiri kabla ya ndoa anaweza kukushawishi uwe nae daima? vipi upande wake atapenda uwe nae?
  3. H

    Wanasheria na Ufisadi na Mikataba mibovu, je bado tunawahitaji?

    Bado tunawahitaji kama wakifuata ile kitu inaitwa maadili ya kazi zao yaani Legal ethics and moral conduct mkuu.
  4. H

    Mh. Lema inakuwaje Meya umualike awe mgeni rasmi?

    Wewe ni mumwi au sadock, Lema in mjanja mno kuliko uwezo wa mleta thread kama anabisha athibitishe.
  5. H

    JK kwenda DAVOS wakati wananchi wake wanakufa kwa kukosa huduma za afya ni sahihi???

    JK bwaa ni kiongozi wa ajabu sana nahisi ndiyo Raisi mubovu Afirika Mashariki na Kati kama kuna atabisha alete ushahidi hapa jf,yaani akipata mualiko anahisi kuchanganyikiwa jamani watz hebu kusikubali hili,emergency ya madr kwake si kitu,bravo madr
  6. H

    Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

    Jamani hii nchi ni balaa madakitari hoi JK anakula mitaa nje,kwani hapa duniani kuna nchi mia ngapi,maana naona kam kazimaliza nashauri ajaribu kwenda na mwezini labda kuna jipya huko,pongezi Marekani kwa kumpiga stop kwa muda,kuja huko kwenu kula raha na wasanii.
  7. H

    Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

    Jamani hii nchi ni balaa madakitari hoi JK anakula mitaa nje,kwani hapa duniani kuna nchi mia ngapi,maana naona kam kazimaliza nashauri ajaribu kwenda na mwezini labda kuna jipya huko,pongezi Marekani kwa kumpiga stop kwa muda,kuja huko kwenu kula raha na wasanii.
  8. H

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Waziri mkuu naye ni kiongozi wa madeal tu,baada ya kuangaika na mambo ya msingi anajidkia eti kupewa rungu la posho hovyo kabisa.
  9. H

    Rais Kibaki amsimamisha Naibu Jaji Mkuu, Nancy Baraza Amteua Mtz Jaji A. Ramadhan

    Ni hatua nzuri katika usawa kati ya tabaka tawala na tawaliwa,kibaki vipi kuhusu Uhuru na Ruto kwa mjibu wa ibara ya 60 ya katiba mpya ulipaswa kuwasimamisha kwa kuwa wameshusha hadhi ya ofisi zao,acha uoga Mh.
  10. H

    Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni???

    Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God
  11. H

    Mbunge wa CCM azomewa Igunga

    Wana igunga safi sana,bila shaka ujumbe
  12. H

    Mbunge wa CCM azomewa Igunga

    kweli bana
  13. H

    Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

    " by kuyolahouse" Hana jipya weka orodha watu tukemee hiyo kitu bana
Back
Top Bottom