Search results

  1. Occupy

    Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Habari wakuu, Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada. Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
  2. Occupy

    Maji ya kisima changu yanabadilisha vitu vinakuwa na rangi nyeusi

    Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Wiki iliyopita nilikamilisha uchimbaji na ujengeleaji wa KISIMA changu kwa matumizi ya nyumbani na maji yamepatikana kwa wingi japo Yana chumvi kidogo. Sasa shida imeanza, Maji ukiyaangalia meupe na masafi lakini ukipikia vyakula kama ndizi zinaiva hali...
Back
Top Bottom