Search results

  1. Gwandalized

    Mashine za EFD sasa kutolewa bure na Serikali!

    Hata mwanzo ilikuwa unanunua kisha unarudishiwa kwa kukata katika kupeleka kodi Sema wabongo wachacha sana wanaopeleka hesabu zao TRA
  2. Gwandalized

    Maalim Seif achukua fomu ya Urais CUF mara ya Tano mfululizo

    Asubiri na wagombea wengine wa ukawa zanzibar
  3. Gwandalized

    NIDA ina matatizo mengi MASHINE MBOVU

    Kuandikishwa na kupata ni vitu viwili tofauti Lazima data zitoshe watoaji wajiridhishe ndio upate,tuache kuwa taifa la walalamikaji
  4. Gwandalized

    Kupeana vyeo kiundugu na kiswahiba; Hii ndio Demokrasia ya CHADEMA?

    Kwa hiyo tofauti yenu na maccm ni nini?
  5. Gwandalized

    Mbunge wa Ukonga,kwetu Buyuni kuko hivi baada ya mvua

    Mngeanza kwa mfano kawe na ubungo kwanza
  6. Gwandalized

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Na bado!,awamu ya pili tunarusha chopa kata kwa kata
  7. Gwandalized

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Kama ni mkakati Hio intejensia yenu haikujua?maana tumesikia mkijinadi humu mna interejensia kali sana
  8. Gwandalized

    Hofu ya Mbowe na CHADEMA juu ya Zitto

    Wakati huu ndio mtajua alikuwa mbunge wa kigoma kaskazini au mbunge wa taifa
  9. Gwandalized

    CHADEMA Mbeya ni ‘insiders’ na ‘outsiders’

    Umesahau ya mwenyekiti aliyepita kuhamia NCCR kisa viti maalum?
  10. Gwandalized

    Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Hawanywi,hawali wanaweweseka kisa ACT
  11. Gwandalized

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    "Nitakuwa wa mwisho kutoka kwa hiyari yangu"sasa mmefukuza afanyaje?,vumilieni tu dawa iingie
  12. Gwandalized

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Mbona kafulila humtaji?
  13. Gwandalized

    Tundu Lissu na Albert Msando yupi ni mtaalamu zaidi wa Sheria?

    Dogo noma ilibidi lisu aombe lugha ibadilike
  14. Gwandalized

    CHADEMA wako miungu watu,wako juu ya katiba

    Chama chetu hakisemwi vibaya,utaambulia dhihaka hapa mpaka nasi
  15. Gwandalized

    Oneni upuuzi wa Sugu

    Mmoja kati ya wabunge waliokota shiling gizani.
  16. Gwandalized

    Niliasisi CHADEMA si kwa lengo la kutafuta vyeo - Edwin Mtei

    Zitto komaa ,mtei kitu gani,nia unayo na uwezo unao
  17. Gwandalized

    CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

    lazima magamba wamechakachua
  18. Gwandalized

    Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

    nchi hii tabu kweli,ndugu mmoja akiwa kiongozi ndugu wengine wabadilishe kazi kabisa?,tutaendelea kulala sana tu hata siku baba zetu wakiwa viongozi tutalalama tu. Taifa la walalamikaji hili.
  19. Gwandalized

    M4C ya CHADEMA na Wanachama Milioni 10

    hivi tokea tumeanza kuvua magamba hawajafika tu?
Back
Top Bottom