Search results

  1. Sir robby

    Hata wanasiasa wa Tanzania na wapiga kura ndivyo ilivyo

    Wadau nawasalimu, Hebu jifunze kupitia hiki KIBONZO na huu ndio UKWELI wa Maisha ya Mwanasiasa na Familia yake na Maisha ya Mpiga kura wa huyo MWANASIASA.
  2. Sir robby

    Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO. Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali...
  3. Sir robby

    Viongozi wa Yanga mwambieni kocha Nabi kuwa Simba imecheza nusu fainali Klabu Bingwa na fainali Kombe la Shirikisho

    Viongozi wa Yanga mwambie ukweli kocha Nabi kuwa klabu ya simba ilikwishacheza nusu fainal klabu bingwa na fainal kombe la shirikisho inaonekana haijui vizuri Simba. Kama alikuwa anadhani yeye ni kocha wa kwanza kuingiza klabu za tanzania nusu fainal basi kachemka. Makocha wa Simba...
  4. Sir robby

    Watumishi wa umma piganieni haki zenu wenyewe, TUCTA ipo kwa ajili ya michango yenu na kuitetea Serikali

    Hakika Watumishi wa Umma miaka yote Waliaminishwa kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kuwasimamia kupata HAKI na STAHIKI zao SERIKALINI.TUCTA wamekuwa Wakichukua MICHANGO ya Watumishi wa UMMA lakini Haina Mchango wowote kwa Hao Watumishi zaidi ya Kutengeneza TSHIRT za MEI MOSI. Ukitaka kujua TUCTA hii...
  5. Sir robby

    Kwanini Membe alazimishwe kumsamehe Musiba wakati maaskofu hao walikaa kimya Musiba alipomtukana Membe?

    Watanzania tuache unafiki. Wakati Musiba anamtukana membe watu wote tulisikia na hao maaskofu walisikia. Wananchi tulinyamaza hakuna aliyesimama kumkaripia au kumkataza musiba asimtukane membe na hata hao maaskofu walikaa kimya. Mzee Membe na familia yake na marafiki zako walikubali aibu ya...
  6. Sir robby

    Tanzania tunakopa lakini uwezo wa kusimamia fedha hizo na miradi hatuna. Tuboreshe sheria kupambana na ufisadi

    Watanzania sio kama tunapinga nchi yetu kukopa, kinachowafanya wananchi waonekane kuogopa nchi kukopa ni uwezo mdogo wa watendaji wetu wa kusimamia miradi mikubwa na pia ufisadi mkubwa wa fedha unaofanywa na watendaji "Report ya CAG" imebainisha na pia hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na...
  7. Sir robby

    CHADEMA warudisheni kundini Halima Mdee na wenzake 18 ili maadui zenu waaibike

    Ni wakati sahihi sasa kwa viongozi wa CHADEMA kukaa pamoja na kina halima mdee na wenzake 18 kumaliza tofauti zenu na kuwarudisha kundini ili mjenge mshikamano tayari kwa mapambano ya kukiimarisha chama. Kama CCM iliweza kuwasamehe kina Lowassa, Sumaye, Makamba, Kinana, Membe, Sofia Simba -...
  8. Sir robby

    Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

    Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba. Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika. Nipende kuchukua nafasi...
  9. Sir robby

    Kwanini tunataka kuanza upya mchakato wa Katiba Mpya wakati kuna Katiba pendekezwa ya Tume ya Warioba?

    Wadau nawasabahi, Nimekuwa najiuliza kwanini tunataka kuanza upya mchakato wa Katiba mpya wakati Katiba pendekezwa ya Tume ya Warioba iliyotumia mabilioni ya walipa kodi na Bunge la Katiba nalo likatumia mabilioni ipo? Nakumbuka hata Ilani ya CCM ilidai endapo ingeshinda Uchaguzi 2015...
  10. Sir robby

    Manispaa ya Ilala bomoeni zile nyumba jirani na jengo la Yanga, zimekuwa maficho ya vibaka

    Mafuriko yaliyolikumba Jiji la Dar es Salaam wakati wa Utawala wa Awamu ya 4 na Mkuu wa Mkoa akiwa Mzee Meki Sadik, wakazi wa Jangwani walihamishwa na kupelekwa Mabwepande na kupewa makazi na miongoni mwao ni wale waliojenga jirani na jengo la Klabu ya Yanga upande wa Barabara ya Morogoro...
  11. Sir robby

    Vurugu za mashabiki wa Wydad uwanja wa Mkapa zilipotiwe CAF

    Ni aibu kwa timu kubwa kama Wydad kufanya vurugu katika uwanja wa Mkapa huku wakiwa wageni. Natapa taabu sana kuamini mchezo wa marudiano huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na vurugu kubwa kwani kama Wydad wameweza kufanya vurugu wakiwa ugenini je, wakiwa kwao itakuwaje? Ni vema uongozi wa...
  12. Sir robby

    Yupi ataruhusiwa kupita kati ya Gari ya Rais, Polisi, Zimamoto au Ambulace zinapokutana kwenye round about?

    Wadau naomba kuelimishwa ni gari ipi itakayoruhusiwa kupita kwanza mara zinapokutana kwenye Round About kutokana na umuhimu wa hiyo gari kati ya hizi gari? 1. Gari ya zimamoto inayokimbilia kuzima moto? 2. Gari ya Polisi inayokwenda kwenye kupambana na wahalifu? 3. Gari ya iliyombeba mgonjwa...
  13. Sir robby

    CHADEMA maridhiano yenu na CCM yanadhoofisha mchakato wa kudai Katiba Mpya

    Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA. Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa...
  14. Sir robby

    Kesi ya Membe Vs Musiba, ni matokeo ya uchawa

    Hakika KESI ya MEMBE VS MUSIBA na FATUMA VS MUSIBA ni ya aina yake nzuri sana KUJIFUNZA kwa sasa. Kesi hizi mbili ni SOMO TOSHA kwa hili KUNDI KUBWA lililoanza kuibuka Katika UTAWALA wa AWAMU ya 5 na hii ya 6.Kundi hili kwa Kiswahili fasaha linajulikana kama CHAWA. Kazi kubwa ya KUNDI hili ni...
  15. Sir robby

    Badala ya kuongeza tozo kwenye mafuta, Serikali iwabane waliotajwa na report ya CAG warudishe mabilioni walioiba

    Nimeshangazwa na Wabunge wa Mkoa wa DAR kuja na HOJA ya ONGEZEKO la SH.100 kwenye Mafuta kwa ajili ya kujenga Barabara za DAR. Hoja hiyo siiungi mkomo kwani ni kuzidi kuwaonea Wakazi wa DAR. Jukumu la Serikali nikuhakikisha FEDHA inazozikusanya kutoka kwa Wananchi wakiwemo wa Dar na Fedha...
  16. Sir robby

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR. Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya...
  17. Sir robby

    Kama gari la Mkuu wa Mkoa ni hili, gari la Katibu Mkuu au Waziri lipoje?

    Wadau hilo ndilo Gari la Mkuu wa Mkoa najaribu kujiuliza Je GARI la KATIBU MKUU na WAZIRI lipoje? KWELI UCHUMI WETU UMEPANDA SANA. Mchana mwema.
  18. Sir robby

    Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

    Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu! Mfungo mwema.
  19. Sir robby

    Kama Jeshi la Polisi limeshindwa kuwapata wahalifu wa Tundu Lissu, Mo Dewji, Ben Saanane na Azory, kwanini Serikali haiombi msadaa vyombo vya nje?

    Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu uliofanyika ni 1. Kupigwa Risasi kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh. TUNDU LISSU 2. Kutekwa kwa...
  20. Sir robby

    Kama sheria ya plea bargain ina mapungufu makubwa kwanini bado inatumika?

    Wadau nawasabahi, Nimeshtushwa sana na kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba juu ya Sheria ya Plea Bargaining kuwa ina mapungufu makubwa. Swali la kujiuliza, Serikali ilikuwa wapi kuyarekebisha hayo mapungufu? Je, hayo Mapungufu yamejulikana lini na kwanini pamoja na kuyajua iliendelea kuitumia...
Back
Top Bottom