Search results

  1. Kainetics

    Mambo Unayotakiwa Kuyaepuka Ukiwa Desperate Sana Kupata Pesa

    Hello wakuu, Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania. Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money" Nimecheck...
  2. Kainetics

    Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  3. Kainetics

    Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  4. Kainetics

    Kama uliwahi soma kitabu cha 'Animal Farm' unaweza fananisha matukio karibia yote na mambo yanayofanywa na hii Serikali Yetu

    Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell. Yaani ni kama uongozi...
  5. Kainetics

    Kwa 'Wasomi' wetu: Badilikeni, mnatia aibu

    Niende moja kwa moja kwenye mada ya kichwa cha uzi. Kadri siku zinavyokwenda idadi ya wanaofanikiwa kufaulu mtihani wa kidato cha nne, ule wa kidato cha sita, wale wanao hitimu mavyuoni ambao mwisho wa siku wanakua waajiriwa au wanajiajiri, au wapo tu mtaani, ni kubwa na inayoendelea kukua. Ila...
  6. Kainetics

    Muongozo Kamili wa kuanzisha na kuendesha Youtube Channel

    Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa. Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
  7. Kainetics

    Basics za Graphics Design - Layout, Blocking, Typography na Colour

    Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest ya kutaka kuanza. Nitaongelea mambo matano, Basics za Layout Design, Blocking, Typography na Colour...
  8. Kainetics

    UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
  9. Kainetics

    Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  10. Kainetics

    HYIP Investment Platforms ni nini na kwanini unapaswa uziepuka

    Habari wana JamiiForums. Leo nimeona sio mbaya nikjaribu kuongelea swala la hizi investment platforms ambazo zina claim kuwa unaweza zitumia kujiingizia pesa mtandaoni kwa kuwekeza nazo. Kwenye pita pita zako online lazima utakuwa ushawahi kutana na link ya watu wanakushawishi kwenye platform...
  11. Kainetics

    Wanaume Wanapendana Kuliko Wanavyowapenda Wanawake | Kainetics

    Habari wana JamiiForums, kwa wanaume wenzangu ambao watakuwa offended na title ya thread, mtanisamehe kwa muda ila nadhani kufikia mwisho wa kusoma yote nitakayoandika; tutakubaliana kuwa hii ni kweli. Kama wewe ni mwanamama, nadhani observations kadhaa wa kadhaa nitakazoorodhesha zitakuwa sio...
  12. Kainetics

    The Unfair Advantage: Nguvu Inayo Determine Ukubwa na Kasi ya Mafanikio Yako (Na Namna Ya Kuitumia)

    Habari wana JamiiForums. Kwenye thread yangu ya kwanza (Mbali na hio ya Utambulisho kwenye Members Forum) nlitaka ongelea kitu ambacho wafanyabiashara wengi na binadamu kiujumla hatukitumii ipasavyo likija swala zima la kutafata mafanikio na hata uendeshaji wa biashara zetu ili ziweze kukua na...
  13. Kainetics

    Post yangu ya kwanza: Hodi JF

    Hodi, humu. Kainetics. Naomba mnipokee. Nakaribia.
Back
Top Bottom