Jipu langu lipo upande wa ardhi,huko wilayani misungwi kuna watu wanadhulumu ardhi.enzi za mwalimu nyerere kulikuwa na kuamishwa vijiji unatolewa sehemu uliyokuwa unaishi unapelekwa sehemu Nyingine.cha ajabu kumetokea watu wanaojiita wamiliki wa sehemu hizo wanawaondoa waliopewa maeneo hayo...
Nakumbuka kaka yangu alinipeleka shule.shuleni sasa nilikuwa nashangaa tu kwani wenzangu walikuwa wanaongea kilugha na Mimi nilikuwa mgeni ndio nahamia.Kwa kweli hakuna mtu aliyenitisha.I miss my shule mpalangwi shule ya mazoezi huko kondoa
anaitwa Damas alimsomesha mambo ya hotel,alishawahi kuwa director of studies national college of tourism.aliacha kazi kuendeleza biashara za baba yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.