Search results

  1. L

    Madaktari na Posho za Wabunge

    mwenye kosa nani "mbunge" aliyejipandishia mshahara au "daktari" aliyeacha wagonjwa wafe??? :smash: inanipa hasira kweli.... haya na baada ya madaktari tujiandae kusikia waalimu, wanafunzi wa vyuo, wafanyakazi wa serikali na wengine wote kugoma..:focus: na ikiwezekana na mkuu wa nchi naye agome...
  2. L

    Tanzania ranked highly as tourist destination in Africa

    ni vizuri lakini isiwe ndo tumepata bichwa na kuishia hapo... inashangaza viongozi we2 wapo nje kila leo lakn wanaenda kushangaa na kutojua kwamba wakirudi ni jukumu lao kubuni vivutio vipya walivyoona.. bado utalii unahitaji fedha nyingi sana kuiadvertise nchi lakn je advertisement bila...
  3. L

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Badala ya kututupia lawama ni vyema ungemalizia usemi wako na solution si kipindi cha kulaumiana, tulivyolelewa sisi ni kuwa hivi na kuficha hisia ze2 na kubaki na maumivu ndani na kuyachukulia ni sehemu ya maisha. kama unataka kutubadilisha si kwa masimango na MAJUNGU wakati hata ww haupo...
  4. L

    BEI MPYA YA UMEME: CHADEMA, wasomi, wanaharakati wapinga bei mpya

    ninachoona mm ni kwamba serikali imekuwa ya "SPENDERS" and not "ENTREPRENEURS" haiwezekani umeme uzalishwe kwa hasara kubwa na bado waTZ Tutegemee kutakuwa na punguzo la bei, the problem Supply ya umeme ni ndogo na endapo serikali haitafanya mchakato wa kuinvest kwenye uzaalishaji umeme wa...
Back
Top Bottom