Search results

  1. D

    Msaada Kujiondoa Deshmax

    Ila wewe naye kwanini uanze kutafuta kupata messages za mtu mwingine bila yeye kujua, unafahamu kuwa ni kosa kisheria lakini pia ni tabia mbaya? Imagine wewe ujue kuna mtu anapaya sms zako bila wewe kujua utajisikiaje? Nway malipo ni hapa hapa duniani, umeshalipwa tayari nakupa pole ila naamini...
  2. D

    Huyu ndugu yangu ananipigia simu kila mara ila sipendi, sema nashindwa kumwambia

    Ipo siku utakosa wa kukupigia napo utalalamika. Ndugu yako anaonyesha upendo muheshimu ila mzuie asiendelee kukuambia mambo ya kimbeya. Ujue hata wewe kuna mtu unamkera ila anashindwa kukuambia hivyo hivyo kama ambavyo wewe unashindwa kumwambia huyo ndugu yako. Hivyo mvumilie kama ambavyo na...
  3. D

    Email za Yahoo zinasumbua leo

    Kama mada inavyojieleza hapo, kwa wae ambao bado ni watumiaji wa barua pepe za Yahoo naona leo mtandao huo umegoma kabisa kufunguka...nimeona hili tatizo kwa watu kama wanne hapa ofisini. Wajuzi wa haya mambo tufahamisheni wapi kuna tatizo
  4. D

    Hawa Nitarejea wa Diamond yupo hoi kitandani, anaomba msaada wa kusaidiwa

    Kama binadamu wengine wakiwa kwenye shida tunaweza kumchangia/kuchangiwa....ila tujiulize Kuna watu wangapi wenye shida Kama yake wapo hospitali na hakuna mtu wa kuwasemea. Besides Hawa wasanii na watu mashuhuri wanapopata shida wanakuwa wa kwanza kuja mitandaoni kuomba msaada wa matibabu lakini...
  5. D

    Nyimbo 20 bora za Mwana Falsafa za muda wote

    Jukumu letu ya ukweli sana
  6. D

    Kuanzia leo sitotumia tena neno "mkuu" kwani hilo ni jina aitwalo Lucifer na wale wanaomwabudu

    Kwahiyo Mwingine akikuambia huwa wanamuita baba napo utaacha kulitumia hilo jina. Acha kudanganyika Wewe ...akili za kuambiwa....
  7. D

    Uzi maalumu vifaa vya ujenzi Uza/nunua

    Wadau naomba kujua jina la hii material inayoonekana kwenye Ukuta. Is it decor plus au ina jina jingine na bei zake zinaendaje??
  8. D

    Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Tetemeko lililopita usiku halikuwa kubwa sana na halikuacha any physical damage but only psychological damage.
  9. D

    Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Nimegundua mosquito net inaweza kukukinga na mbu lakini pia ikakuchelewesha kukimbia kipindi cha hatari kama hii
  10. D

    Tetemeko la Ardhi tena Kagera

    Habari ya muda huu na usiku huu mnene. Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini bukoba sio salama sana kwa...
  11. D

    Tetemeko la ardhi limepita Bukoba leo tarehe 30 Aprili, 2017

    Habari ya muda huu na usiku huu mnene, Bukoba tena. Tetemeko lililodumu kwa takribani dakika moja na nusu limepita muda huu mjini Bukoba. Baadhi ya wananchi ambao bado tunakumbuka ya tarehe 10/09/2016 tumejikuta tukikimbia nje na watoto wetu. Sasa nimeanza kuamini Bukoba sio salama sana kwa...
  12. D

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Wadau wa nyimbo za dini za jamani nimewahi kuuliza hawa jamaa wa Upendo Group mbona siku hizi siwasikii. Wamekwenda wapi hawa jamaa. Please mwenye kujua naomba nifahamishwe. Nyimbo zao nimekuwa nikizipenda sana kuzifuatilia lakini siku hizi hawasikiki sasa sijui walivunja group ama imekuweje...
  13. D

    Bodi ya Mikopo (HESLB) imeanza rasmi kukata 15% kwenye mshahara

    Nadhani tusiwalaumu Bodi ya mkopo kwa kutukata 15%. Hii sheria imepitishwa na kuidhinishwa na wabunge wetu hawa hawa ambao tumewachagua Hivi karibuni tu. So Bodi ya Mkopo wanatekeleza sheria. Mimi pia ni mhanga wa hilo. Inauma sana.
  14. D

    Tetemeko dogo la Ardhi(aftershock) latikisa tena Bukoba usiku Sept 11, 2016

    Bukoba hatuna amani kabisa maana tetemeko dogo limepita tena mida hii. Watu tumetoka nje na watoto, kiukweli hakuna amani kabisa. ======= September 10 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha 5.7 na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 100...
  15. D

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    maandalizi ya ibada ya kuaga marehemu waliofariki bukoba
Back
Top Bottom