Search results

  1. R

    Serikali kujenga Daraja la kisasa Jangwani DSM kwa ufadhili wa Benki ya Dunia

    Makosa hayohayo yanafanyika Kawawa road-kutoka magomeni kwenda roundabout ya kigogo. Mvua zikinyesha lazima tutapiga mbuzi. Huwezi weka daraja la upana usiozidi mita tatu tena bila kunyanyua juu tuta la barabara ukitegemea matokeo chanya. Bado tuna safari ndefu sana.
  2. R

    Mwanza wazidi kuporomoka, wazidiwa na Dodoma, Pwani na Mbeya kwenye mapato

    Tuwekee hapa angalau ya wilaya moja.
  3. R

    Mwanza wazidi kuporomoka, wazidiwa na Dodoma, Pwani na Mbeya kwenye mapato

    Waweke hadharani matumizi yao sasa. Waweza pigwa butwaa.
  4. R

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Kwa kujibu wa maelezo ya Mbunge Shabiby, nchi inatumia lita million 400 kwa mwezi. Hivyo ukitaka kujua TBS na hao wengine wanapata mgao kiasi gani zidisha makato yao mara lita 400m.
  5. R

    Ukokotoaji wa bei za mafuta yanayopokelewa bandari ya Dar es Salaam (mfano petrol/lita)

    Hata mafuta yapande kwa kiasi gani, mfanyabiashara anaendelea kula TZS108 take kwa lita. Profit margin yake haishuki. Na wenye mapato yao nao wanachukua kiwango kile kile. Mtumiaji wa mwisho ndo anayebeba mzigo wote wa kupanda kwa bei.
  6. R

    Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Chama tawala wameamua kucheza ngoma ya wapinzani bila kujua, taratibu wanapoteza wafuasi wao (pro Magufuli). Kwa maana nyingine chama tawala wanashambuliana wenyewe kwa wenyewe, wakisaidiwa na wapinzani. Kama jina lile lisingekuwa na nguvu, wasingesimama kujitetea kila siku kuwa watamaliza...
  7. R

    Kikwete anaonewa sana, na kwanini huamua kukaa kimya kama njia ya kujibu maadui zake?

    Magufuli nae anaonewa sana, hawezi kujibu.
  8. R

    CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

    Alikufanya nini, funguka. Au team fuata mkumbo.
  9. R

    Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

    Rekebisheni sasa, wakati ndio huu.
  10. R

    Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

    Mwacheni Marehemu apumzike kwa amani. Usidhani wewe ni msafi sana wa moyo.
  11. R

    Wakati mgumu kwa taifa la Tanzania

    2025 sio mbali, subiri utashuhudia.
  12. R

    Mwigulu Nchemba na mkandarasi, China Civil Engineering construction corporation biashara yenu ina harufu mbaya

    Tupe orodha ya waliotekwa na orodha ya waliouwawa. Acheni character assassination kwa baseless allegations.
  13. R

    Bilioni 222 za Mikopo ya Vijana zimetafunwa na wahuni

    Nina wasiwasi kama fedha zinazorejeshwa huwekwa kwenye hesabu za mapato ya halmashauri. Huenda nazo hupotelea mifukoni mwa watu. Imagine hizi ni za kuanzia 2017, tukichukua miaka kumi nyuma itakuwaje?
  14. R

    Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Acheni kusema vitu ambavyo havina ushahidi. Hebu tutajie watu waliouwawa ama kutekwa. Acheni kuchuma Dhambi, mnahukumu utafikiri ninyi ni Mungu ama mlikuwepo wakati anauwa watu. Acheni kuhukumu. Yesu akawaambia, Basi na asiye na dhambi awe wa kwanza kumpigia mawe mwanamke huyu.
  15. R

    Umati wahudhuria Ibada ya Shukrani ya Freeman Mbowe Kanisani, wengi wakosa nafasi wafanya misa nje ya kanisa

    Tunamuandaa kugombea Urais nini? Sasa Lissu itakuwaje?
  16. R

    Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

    Wewe ulijuaje kwamba hakuwa tayari, nipe mifano.
Back
Top Bottom