Search results

  1. C

    Waliowahi kulipwa na bima baada ya kuibiwa gari naombeni ushauri

    Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa. Bima wana taka kulipa ila kusema kweli sikubaliani na namna bima inavyotaka kunilipa kwani, gari...
  2. C

    Gari aina ya Toyota premio no EBF 2003 color silver imeibwa maeneo ya Yombo Dovya - Temeke

    Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni mmiliki halali wa hiyo gari, usiku wa kuamkia leo tarehe 19.12.2022, gari ilikuwa imeegeshwa karibu na shule ya msingi Yombo mkabala na duka la jumla, ambapo mlinzi alipewa kazi ya kulinda. Lakini asubuhi naamka mlinzi anasema aliona mtu...
  3. C

    Nyumba inapangishwa kivule

    Nyumba ni mpya kabisa hajakaa mtu, ina vyumba sita, sebule na fremu ya nje, ina fence, vyumba vitatu ni masters, inaweza ku accomodate familia mbili. Umeme maji ni uhakika, ipo barabarani, barabara ya kivule- banana. Bei 800,000/= kwa mwezi
Back
Top Bottom