Search results

  1. P

    Nje au Nyumbani

    Watanzania wamekuwa wakimbilia nje kuhangaika na maisha maruri lakini kumbuka maisha mazuri yako nyumbani kwako- kwani wengi wao wanaokimbilia nje hawana kisomo kilicho makini na huishia mitaani na kujikuta kwenye matatizo makubwa mno Nawaambeni watanzania wenzangu kuwa makini kabla huja...
  2. P

    Maoni kuhusu Biashara E-Africa

    Mimi ni mtanzania naishi South Africa nataka kujua kuna biashara gani naweza wekeza E-Africa Nipe maoni na mifano ilio hai Kula nao Papa
Back
Top Bottom