Search results

  1. Mfikirishi

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Unafundishwaje uzalendo wakati wafundishaji wote ni wezi na mazulumati? Kila kitu wanakupora! Uchaguzi...kodi...afya...elimu...uhai... maendeleo...rasilimali...
  2. Mfikirishi

    Nani alitaka kumuua Paul Makonda?

    Makonda Paulo Albert Bashite ni tapeli tu kama wengine waliopitia uvccm. Kama Mpina anahofu namba moja aliwahishwa akhera, yeye Bashite ni nani hadi ishindikane? Ogopeni ma-populist kama kina Bashite! NB: Anakoelekea atawataja kwa majina wote aliowadhulumu haki ya kuishi!
  3. Mfikirishi

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Hawa waparuane wafukuzane... Kidumu cha hiyo cartel kipasuke ndo pona pona ya waTanzania ilipo!
  4. Mfikirishi

    Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?.

    Washauri wa SSH wanampotosha sana. Ana fursa kubwa sana ya kukitanza Kiswahili na akawa comfortable kwenye hotuba zake kulikoni matumizi ya English yanayomfanya aonekane hajui kuhutubia!
  5. Mfikirishi

    Chama kikibadili Mwenyekiti wa taifa aliyekaa muda mrefu kinakuwa Kipya kama ilivyo ACT wazalendo, Bado CUF na Chadema!

    Kila kitu kina approach zake. Na usilazimishe approach zifanane
  6. Mfikirishi

    Maelfu wahamishwa baada ya Bwawa Kupasuka kusini Magharibi kwa Urusi. Ingekuwa ni Tanzania watu wangekesha wanapiga makelele kuilaumu serikali

    Yaani umeandika kama vile hukai Tanzania. Nakuapia... Mafuriko kule down stream yataendelea kuwa mabaya zaidi... Make hata hayo unayoita mabwawa ya kufugia samaki nayo yakijengwa yatapasua kingo! Why wali-ignore kujenga hayo mabwawa kwenye original design ya JNHP? Msilete siasa siasa zenu za...
  7. Mfikirishi

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Inafikirisha sana... Anaitwa CDF Francis Omondi Ogolla... Usikute wamemtanguliza! Kenya ni wazoefu sana kwenye hayo mambo ya helicopter crashes... Robert Ouko... George Saitoti et al
  8. Mfikirishi

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Upo sahihi... Lakini zaidi ya UGONJWA kwa sasa ujinga huo unawalipa vizuri sana wanaoufanya! Watu wanaseminishwa kabisa jinsi ya kusifia! Na mafungu yanatolewa!
  9. Mfikirishi

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Kuhusu kauli ya mtoto wa Lowassa nadhani alikuwa sahihi. Inawezekana SSH personally alijitoa kuhakikisha Lowassa anapewa huduma stahiki kwa wakati! Lakini inafikirisha sana kuona picha ya SSH ikitumika kwenye mabango yaliyotandazwa kwenye shughuli ambazo hata yeye hayupo! Inafikirisha zaidi SSH...
  10. Mfikirishi

    Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

    Tafiti zinaonesha wanaopinga ushoga na tabia kama hizo wazi wazi mara zote wanaziendeleza au kujihusisha nazo kwa siri!
  11. Mfikirishi

    Maelfu wahamishwa baada ya Bwawa Kupasuka kusini Magharibi kwa Urusi. Ingekuwa ni Tanzania watu wangekesha wanapiga makelele kuilaumu serikali

    Sikiliza ndugu... Miradi mikubwa ya mabwawa inapingwa kote Duniani na watu wenye uelewa wa hatari kama hizo! Tatizo lenu nyie mipango yenu ikipingwa mnaichukulia personal! Wanasayansi waliwaambia wazi wazi kuwa Bwawa na JNHP ni hatari kwa downstream users. Lakini nyie mlishupaza mashingo yenu...
  12. Mfikirishi

    Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Takwimu za lini hizi ndugu yangu
  13. Mfikirishi

    Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Kwa kuwa si dalali... Kwa kuwa ni nabii... Itapendeza sana akianzisha Chama chake! waTanzania wengi watakuwa nyuma yake! Tafadhali mwambie ahame haraka sana!
  14. Mfikirishi

    Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Ovyo sana! Utamkataaje ambaye hujamchagua?? Kwanini wananchi wa mkoa husika wasipewe fursa kikatiba kuwachagua hao wakuu wa mikoa?
  15. Mfikirishi

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Wimbo wa Taifa unaimbwa hadi na vikundi vya wezi na wauaji... Mwacheni Mtume
  16. Mfikirishi

    Makonda alikuwa sahihi sana kwao

    Makonda ni populist. Aliendekeza show binafsi kwenye majukumu ya kitaifa!
  17. Mfikirishi

    Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Utende usitende machawa wakinasa Convo zako umeisha!
Back
Top Bottom