Search results

  1. J

    Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    mkuu umenikumbusha miaka yangu maua seminary...marangu mtoni ndo njia yetu
  2. J

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    asante sana mkuu. nasubiri kwa hamu sehemu ya tatu
  3. J

    wale wazamani inakukumbusha wapi hii?

    DH.......Dingi Hana uwezo.
  4. J

    Extract ya hotuba ya Josephine Mushumbusi alipoongea na Watanzania waishio DMV, USA

    Hili la kuwaita 'wakimbizi' bi. mkubwa hapa kachemka...au shule yake ya superglue nini? Nashangaa mtaalamu wa international relations wa chadema (saanane) haongelei hili
  5. J

    Shule bora kwa ufaulu na kombi wanazoongoza

    Kisimiri safi sana. Nilipangwa pale bt sikuenda. Rafiki zangu walioenda wote walifaulu hasa wa PC....wamejaa COET sa hivi
  6. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    So called mtoto wa mkulima anapanda jukwaan...mkuu wa wilaya anampa zawadi i.e kondoo, ndama, kinyago cha faru, mgorori....zawadi nyingi sana magunia ya vitunguu, mbaazi,....anasema karatu hoyeeee mikono kuu, kikwete juu. Anasema haijapata kutokea. anamkaribisha Natse jukwaani Natse anaanza na...
  7. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    Mama Tunu yupo jukwaani...anatoa salamu kwa furaha. Anasema karatu imevunja rekodi kwa mwitikio wa watu.
  8. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    ole sendeka anapanda jukwaani....anaanza kwa utani kidogo. Anawapongeza karatu kwa maendeleo ya kila sekta apa anaquote vitabu vitakatifu. Pia anawapongeza watu wa karatu kwa uelewa kwa vile hawajawahi aandamana. Anasema kazi ya mbunge ni kuwa kipaza sauti cha wananchi....anaingiza utani kwa...
  9. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    sasa anapanda jukwaani kassimu Majaliwa. Anasema karatu imeongoza kwa idadi ya watu waliokuja kumpokea pinda. Anasema kitaaluma karatu imepitiliza lengo la serikali. Anasema mpaka kufikia mwenzi wa 11 tatizo la elimu litakuwa historia. Anatamka banjuki badals ya banjika.....anasema vitabu vingi...
  10. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    sasa Nyalandu anaisifia karatu kuwa ni mji mdogo wenye hoteli nyingi za kitalii. Anasema mji wa karatu unakuwa kwa kasi. Anahimiza vijana wajifunze kichina, upishi na tour guide. Anasema karatu inajitahidi kupambana na ujangili.
  11. J

    Pinda ahutubia umati KARATU

    bado hajafika....nipo apa mazingira bora. Awaki anatajwa kila nyimbo
  12. J

    Albamu bora ya Kanisa Katoliki

    nikiziangalia mbingu....mt cesilia arusha
  13. J

    Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

    bro mara nyingi ni bahati tu...wor not ukija chuo utajua ufundi wa kupata rooms bt bei sana kaka
  14. J

    Hapa ndipo UDSM inaponikata stimu..!!!

    mkuu kwa kawaida first year wote wanapata rooms. Kwa wanaondelea rooms ndio probability kupata. Mimi nilipata mwaka 3 hope mwaka wa 4 pia nitapata
  15. J

    CHADEMA yatoa mikopo Musoma Mjini

    milioni 30 kata 13....hivyo vikundi vitaweza hata kununua bodaboda kweli?
  16. J

    Tanzania AG Fredrick Mwita Werema writes to The Hague over Ruto trial

    Lissu anamtoa ulimi nje afu anaanza mambo ya the hague
  17. J

    Natafuta mtu wa kuniandikia research

    hahaha matatizo ya kusoma vyuo vya pembezoni...criazly uandikiwe research wakt to us z the most interstng thng kufanya na kuandka.
  18. J

    Historia fupi ya jina la slaa katibu mkuu wa chadema.

    umedanganywa slaa maana yake n njaa kwa kiiraqw....
Back
Top Bottom