Search results

  1. R

    Tuliowahi kupata ufahamu tukiwa ndotoni tukutane hapa

    I mean unapata ufahamu na kujielewa kabisa kuwa hapa nilipo ni ndani ya ulimwengu wa ndoto wala si uhalisia Unafanya unachotaka, unakwenda unapotaka, pia unadumu ndani ya ndoto hiyo kwa muda mrefu zaidi Jamani, mliowahi kupata hizo ndoto mlifanyaje fanyaje? Natamani ila nashindwa. Tupeni mbinu...
  2. R

    Mwanaume kuwa "Romantic" ni ubwege wa kiwango cha juu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaume wa jf
  3. R

    Ikitokea umemfumania mke wako, ni vyema ukamsamehe tu

    Hata maandiko matakatifu yanatukumbusha kusameheana saba mara sabini. Wanaume mjifunze kutoka kwa yale yaliyomkuta mchungaji. Mbona yeye kasamehe? Kwani yeye si mwanaume kama mlivyo ninyi? Fikirieni mara mbilimbili kipi kitakachoikumba familia yenu baada ya kuchukua hatua ya kuachana. Vipi...
  4. R

    Unamkumbuka mpenzi wako wa sekondari? Alikufanyia nini cha kukumbukwa?

    1. Alinilipia deni la vitabu viwili vilivyoibiwa nikiwa kidato cha pili mwezi wa 11 bila ya mimi kumfahamu. Nikiwa kidato cha tatu niliibiwa begi na vitabu ndani yake, wakati nimefikishwa staff natishiwa adhabu, alikuja na vitabu vipya viwili na kumkabidhi yule mwalimu. Mwalimu akamuuliza...
  5. R

    Mtandao wa TTCL umeniharibia siku yangu

    Imetumia dakika moja just kufungua app ya JamiiForums
  6. R

    Mtandao wa TTCL umeniharibia siku yangu

    Walichokifanya hawa watu jaman[emoji24][emoji24] Nimeweka salio la 500 nijiunge MB wakasema siwezi unganishwa, kuuliza salio naambiwa una 481 Tsh. Hapo sijampigia mtu, sijawasha data. Sasa hiyo kazi ya kusafiri maili mia kufuata vocha zao niitoe wapi Nimejaribu Bufee, eti MB za 480 Tsh ni 175...
  7. R

    Huyu bidada ni mpuuzi, anastahili adhabu gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. R

    Kijiwe cha Nongwa. Karibuni tuyajenge. Na hili mkalitizame

    Basi acheni na mimi nijinyakulie ka ukatibu[emoji12] kama mama samia alivyojinyakuliwa ka urais katibu wa kwanza mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. R

    Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya juice ya kimataifa

    Mi mgeni Dar! Viwanda hivyo vya plastic viko wapi? Na hao wataalamu wengi ni akina nani? [emoji848][emoji23]
  10. R

    Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya juice ya kimataifa

    Basi hata salamu tu [emoji23][emoji23]
  11. R

    Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya juice ya kimataifa

    Hello, Nimerejea tena jukwaani baada ya ban la wiki tatu [emoji23] hakika niliwamiss sana[emoji18] Nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza juisi, kuzi pack na kuzisambaza madukani kwa oda maalumu. Juisi zenyewe ni za matunda hayahaya asilia. Mtaji ninao tayari! [emoji126][emoji126] Msaada...
  12. R

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    mjinga wewe, hao ambao unakutana nao bar ndo unawaona watakatifu saana. Sikutegemea hata wewe ungelikuwa miongoni mwa wanaonikashfu. Mwanaume ovyo [emoji849] Tuambie umekwisha nyofoa bikra ngapi tokea uzaliwe mpaka sasa? Jitathmini level ya ujinga wako kaka Masister wenyewe sio wote waaminifu...
  13. R

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    [emoji23][emoji23][emoji23] acha kudanganya watu [emoji23][emoji23]
  14. R

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Kwaiyo ulitakaje [emoji34][emoji34]
  15. R

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Na unaowatumia je wana utofauti gani na mimi Utakufa kifo kibaya wewe, nahisi una laana Samahani kama ntakuwa nimekujibu vibaya, ila umentia hasira [emoji24][emoji24][emoji24]
  16. R

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    Hello, Kuna ile situation unajikuta tu tayari kishaumana na mtu ambae hukumhisia kuwa na tabia za kikubwa may be kutokana na cheo/wadhifa ama umri alionao [emoji4][emoji4] Yaani ambaye ulidhani hata kama mngefungiwa chumba kimoja usiku kucha kisingetokea kitu. Au mtu ambae kutokana na status...
Back
Top Bottom