Kuiba ilikuwa ngumu kwa sababu nakumbuka kamanda Mpinga aliwahi sema, Police wana server zao ambazo ndipo Maxcom alikuwa ana connect kwa hiyo data zilizopo Maxcom zipo pia Police. Utaibaje?
Yaani mkuu USD 200 ndio unapiga chini kuagiza toka China? Daaaah hata kama ni ubahiri huu kiboko kabisa. Muda huu unahangaika wenzio itakuwa tayari iko kwenye meli inakuja
Njia hii mwenye simu akiingia kwenye whatsapp web yake atakuta kuna device imelogin na huwa inatoa option ya ku logout na pia inaweza kutoa location ya hiyo device. Whatsapp wamejipanga. Labda uliyemfanyia awe hajui hizi mambo
Habari wana JF, gari yangu Premio silver imeangusha bampa. Kwa anayeuza au kujua wapi wanauza anijuze. Ni Premio hizi zenye sensa. Kwa hiyo na bampa liwe na sehemu za sensa.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.