Search results

  1. M

    Wazo la leo!..

    Kwa hiyo watu waoe/kuolewa na watoto wa matajiri tuu?
  2. M

    Sijui nimwambie

    Kama kweli hutaki mahusiano naye mweleze ukweli, unavyochelewa anaweza kudhani unataka lakini unashindwa kusema...hiyo ni hatari kaa chonjo kaka
  3. M

    Wanaume wana real love kuliko wanawake...

    Mnapenda sana mpira kuliko wapenzi wenu hadi mnachosha.....
  4. M

    hajui lugha ya mapenzi

    Inawezekana mke anapenda kuambiwa kwa maneno,amwambie tuu au yeye ndo anaona aibu kusema anaomba? Kuombwa pia kuna raha yake
  5. M

    we need business partner

    MOI hakuna madaktari bana,mbavu zangu lol
  6. M

    we need business partner

    Bado biashara/maduka yapo au mmeshayafunga mnataka kuhamia kwingine?
  7. M

    Maandamano makubwa ya kumpokea king dk.steven ulimboka jangwani

    Wewe kwa ujasiri wako umeshiriki vipi kwenye hili?umeandamana ukakosa washiriki?
  8. M

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Ni kweli hauhitaji madaktari?huwa unatibiwa wapi wewe na familia yako?sidhani kama unafahamu haki zako za msingi na wajibu wa serikali kwako wewe mwananchi
  9. M

    A picture speaks a thousand than words...

    kazi ya ukweli sana
  10. M

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Hakuna sababu moja maalum inayoleta tatizo la mimba za umri mdogo kama huo kutoka. Nakushauri muonane na daktari,hasa wa magonjwa ya kinamama ili aweze kupata historia nzuri ya utokaji wa kila mimba na awezepata matibabu sahihi.
  11. M

    Eti mama anayenyonyesha anaweza beba mimba kama akikutana na mwanaume kimwili?

    Inawezekana kabisa kupata mimba wakati wa kunyonyesha, apime tena akiwa na wiki 8 kama walivyoshauri wengine. Kuhusu kunyonyesha akiwa na mimba nalo pia anaweza kuendelea kama ataweza kula vizuri vyakula vitakavyomletea afya bora kwa ajili yake,mtoto anayenyonya na aliyeko tumboni(hakuna...
  12. M

    Hodii

    Hodi wanajamiii
Back
Top Bottom