Search results

  1. kalaghesye

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    Tatizo la watumishi wengi katika Tassisi za umma bado hawajafahamu kuwa enzi za Awamu ya Nne zimekwisha. Walijisahau sana. Tumezoea kuona wafanyabiashara wakiwa na ukwasi mkubwa lakini kwa miaka kumi iliyopita hali ilikuwa ni tofauti kabisa. Ndio maana inakuwa vigumu sana kuwashawishi vijana...
  2. kalaghesye

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    Unajisumbua ndugu yangu maana kuna ripoti kadhaa zimepata kupendekeza hivyo lakini zilipigwa chini kwani huu mradi tangu ulipoasisiwa ulikuwa na harufu ya ulaji. Hebu fikiria kuwa Bwana Maimu alikuwa mmoja wa wataalamu washauri wa mradi wakati bado akiwa mfanyakazi wa Umma pale Idara Kuu ya...
  3. kalaghesye

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    BWana Maimu ana kijiji kizima pale nyuma ya Shoppers Plaza ambapo pia amejenga ukumbi wa muziki wa kisasa kabisa. Huyu ni mjasiriamali kweli kweli.
  4. kalaghesye

    Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    Ni sahihi kuwa Madeni Kipande hajatumika sana katika utawala wa JPM lakini huyu Bwana alikuwa na vimeo kibao ambavyo nahisi jamaa ameona vitamsumbua. Kuna siku Raia Mwema iliandika kuhusu Madeni Kipande kuwa mmoja wa waliomgharimu Hosea kibarua chake kwani kufuatia uchunguzi wa skandali ya TPA...
  5. kalaghesye

    Bima ya afya ya Taifa (NHIF) msifanye ufisadi huu

    Ni muda mrefu sasa kumekuwepo na wito wa wadau kuutaka mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa kuboresha vitambulisho vya wanachama wake ili kupambana na kughushi ambako kunaupotezea mapato mfuko na kuanza kutishia uwepo wake. Watu wanatibiwa kwa vitambulisho visivyo vya kwao na pia mfumo mzima hauko...
  6. kalaghesye

    Wote wanaoponda Uteuzi wa Muhongo, Mwakyembe na Nape, wapo nyuma ya Lowassa na Mengi

    Baada ya Profesa Sospeter Muhongo kutangazwa kuwemo katika Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya Tano lililotangazwa na Rais Dk. John P Magufuli, kumezuka maneno mengi katika mitandao na vijiwe vya siasa kukosoa uteuzi huo kwa kile kinachotajwa kuwa ni tuhuma zake za kuhusika katika sakata...
  7. kalaghesye

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Natumaini tatizo ni namna ya uulizaji wa maswali. Kuna maswali ambayo ni kama muulizaji anategemea kujibiwa jibu fulani. Unapomuuliza mtu umetumia vigezo gani ambaye tangu awali amekuwa anasema falsafa yake ni Kazi Tu. Kwa viongozi wanasiasa hilo ni kama swali la kuwapa ujiko ... ataanza kusema...
  8. kalaghesye

    Msaada Kuverify acct ya Facebook

    Habari wana-JF. Naombeni msaada namna ya ku-verify account (Personal na Company Page) kwenye Facebook. Natanguliza shukurani za awali.
  9. kalaghesye

    Bodi mpya bima ya afya yasimamisha kazi wakurugenzi

    Sangarara, baadhi ya mashirika ya Umma yamekuwa ni chanzo kikubwa cha kuifirisi nchi yetu. Ukiongea na watu wa Bima ya Afya mikoani wanasema hatua hii imechelewa.Watu wanajisahau sana - hii haina tofauti kabisa na kesi zinazoendelea (ingawa haziishi) za akina aliyekuwa Waziri wa Fedha Mramba na...
  10. kalaghesye

    Bodi mpya bima ya afya yasimamisha kazi wakurugenzi

    Keynes, waliosimamishwa wamepewa barua zao jana. Wasiliana na Afisa Habari wa Mfuko au Mkurugenzi wa Utumishi. Ukiweza, tafuta Board Member - ingawaje walio kwenye tofauti ni wale waliopita. Tatizo la watu wetu watakwambia "Mimi siyo msemaji wa Shirika" na watakachofanya ni kuficha ukweli. This...
  11. kalaghesye

    Bodi mpya bima ya afya yasimamisha kazi wakurugenzi

    Wiki chache baada ya Ikulu kukataa ombi la kuongezewa muda wa mkataba wa ajira wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bima ya Afya (NHIF), Bw. Emmanuel Humba (63); Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika hilo imewasimamisha kazi Wakurugenzi kadhaa kwa tuhuma za ufisadi na kuhujuma uchumi zilizokuwa...
  12. kalaghesye

    Bodi mpya bima ya afya yasimamisha wafanyakazi nane

    Wiki chache baada ya Ikulu kukataa ombi la kuongezewa muda wa mkataba wa ajira wa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bima ya Afya (NHIF), Bw. Emmanuel Humba (63); Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika hilo imewasimamisha kazi Wakurugenzi kadhaa kwa tuhuma za ufisadi na kuhujuma uchumi zilizokuwa...
  13. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Asante kwa lead nyingine ndugu yangu Jiwe Linaloishi. Kwa taarifa yako pale TTCL niliambiwa ati nimetumwa. Nimewaomba MISA-TAN wawatembelee kwenye ule mpango wao wa utoaji taarifa kwa umma kwani Muundo wa shirika tena shirika la Umma sio siri. Hata hivyo nimekwenda kwenye Wizara husika na...
  14. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Ni kweli kabisa mipango k. Kuna optimal staffing to every structure depending on the workload and whether it is continuous or one-time. Moja ya nilichogundua ni kuwa kutowajibika kunapelekea mlundikano wa kazi na hiyo imekuwa inatumika kuthibitisha umuhimu wa kuajiri na kuunda vitengo visivyo...
  15. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Ndugu yangu Kingo, asant sana kwa mchango wako. Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanakataa kuwa ati humu ndani "Jamii Forum" kuna watu wapo kwa ajili ya kulinda maslahi yasiyo na tija kwa Taifa. Jamani tukumbuke kuwa tupo leo kwa sababu kuna watu walibakisha. Sasa sisi mbona tunakula bila...
  16. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Elezea maana ya Wivu hapa na kisha jikite kwenye maudhui kwa maana Kiswahili kimekuwa ni lugha pana.
  17. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Ndachuwa ... please ref. MOJA ni kuwa Idara huundwa ikiwa haina majukumu linganifu na shughuli mama ya shirika; Pili ni Idara huundwa ikiwa ina MKURUGENZI na MAMENEJA bila watu wa kuwa-manage! Its opposite is the perfect scenario.
  18. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Sharing your findings., in bits, is a professional way of improving your research. These are very general bits which I thought could be picked up by someone else to rectify the situation (if at all it calls for rectification) or for others to come up with new research topics. What I have...
  19. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Busar, sikuelewi unavyoelewa neno wivu. Ni kweli kwa mawazo yako Tz ina kazi. Unataka kuhalalisha wewe kujiita Baba Fulani bila kuwa na huyo mtoto Fulani. Unless ni Nick Name. Hapa hatufanyi utani .... ninaongelea mambo yanayoliathiri Taifa. Unless hata wewe ni mmoja wa watu wanaonufaika na huo...
  20. kalaghesye

    Haijapata kutokea: Idara ina mkurugenzi na mameneja bila wafanyakazi wengine

    Thanks Phd, ninaendelea. Kwa CAse Study yangu ninatakiwa kutembelea mashirika si chini ya IShirini ili niweze kuwa na CONCLUSION ambayo siyo BIASED.
Back
Top Bottom