Search results

  1. PakiJinja

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Football ain’t no your thing, ungejaribu vigoro.
  2. PakiJinja

    Benjamin Netanyahu asaini Mpango wa kuuvamia mji wa Rafah Kijeshi!

    Yule kiongozi wa Hamas kule Gaza analalamika kuwa Israel wamekata supply ya maji, hali ambayo imepelekea akae mwezi bila kujitawaza kila apigapo kubwa hivyo ameiomba jumuiya ya kimataifa iingilie ili apate haki yake ya kujitawaza.
  3. PakiJinja

    Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kwani hiyo timu umeitaja na yenyewe inashiriki michuano ya kimataifa?
  4. PakiJinja

    Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

    Muammar Gaddafi did express aspirations for Africa to embrace Islam to some extent. He promoted his vision of a united Africa under Islamic principles. Also, https://www.reuters.com/article/uk-religion-gaddafi-idUSL3059334720070330/
  5. PakiJinja

    NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

    Mkuu, na wewe kwa asilimia nyingi sana, maana umeiweka vyema. Being a Game of opinions ndiyo kinachoipa umasrufu football, kila mtu mitaani ana air out vile aonavyo inafaa, ingefaa au itakavyofaa. Shida yangu ni pale mikadala inapohama kutoka mitaani na kuwekewa majukwaa yanayoihitaji watu...
  6. PakiJinja

    NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

    Everything is subjected to opinions mkuu, na opinions zinaweza zikatokana na hisia/mapenzi, historia, uzoefu au elimu ya mtoa maoni n.k lakini uchambuzi hasa hiyo “detailed examination” it’s too deep, haiwezi ikatolewa kwa hisia, I hope hilo unalijua vyema. Analysis ina vigezo vyake na ndiyo...
  7. PakiJinja

    NIlichojifunza katika mechi ya leo ya Yanga VS Geita Gold

    Kuwa open game hakumfanyi kila aliyeona kuwa ni analyst, wanaweza wakawa wasimuliaji tu au waburudikaji.
  8. PakiJinja

    Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Alipita na msafara wake katikati ya umati wa waandamanaji.
  9. PakiJinja

    Yanga mlisema mnataka Chai iweje mnalalamika mnaungua kwa Mamelodi

    Hizi story za hivi nazisoma na kuzisikia kwenye mitandao ya watanzania pekee. Nje ya Tanzania habari ni tofauti kabisa...
  10. PakiJinja

    Angalia Waafrika Tulivyopitia Wakati Mgumu Sana

    Hii adhabu ni nzuri sana, inatakiwa ifanyike kwa viongozi wabadhirifu wa serikali na watumishi wa umma.
  11. PakiJinja

    Privaldinho amjibu Oruma

    Bush Stars
  12. PakiJinja

    Kitabu Cha Mwanafunzi: Jifunze kusoma kwa hatua

    Tanzania Wafungaji - Tanzania South Afrika Wafungaji - South Africa Egypt Wafungaji - Egypt Champions League Wafungaji - Champions League
  13. PakiJinja

    Mazoezi ya Mamelodi Sundowns yana nia ovu kwa Yanga

    Hayo mbona ni mazoezi ya Bush Stars!?
  14. PakiJinja

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Kwani kuna timu imepangiwa kucheza na Bayern?
  15. PakiJinja

    Yanga uso Kwa uso na Tp Mazembe Final CACL

    Ganja bwana
  16. PakiJinja

    Ukiweza punguza au acha kabisa matumizi ya vyakula vya kuchoma na kukaanga

    Vitu vya kuchoma? Umesababisha nimkumbuke sana hayati Bob Marley. Alikua anapenda sana kuvuta vitu vya kuchoma.
  17. PakiJinja

    Chuo cha Ardhi kuweni makini na huu mtego wa suala la mapacha kudai kufanyiana mtihani

    Chuo kinachunguza nini sasa? Ingekuwa mtu mwingine ndiyo ametoa tuhuma dhidi yao hapo ndiyo wangekuwa sahihi kusema wanachunguza. Hao wamekiri wenyewe kwenye media na ushahdi upo hivyo kinachopaswa ni kufanywa ni kuzifuta degree zao. Ingekuwa ni taarifa iliyoandikwa au iliyokuwa reported...
  18. PakiJinja

    Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6

    Azam wanadhamini timu zote zinazoshiriki ligi kuu wakati wenyewe pia wana timu inayoshiriki ligi hiyohiyo wanayoidhamini. Azam wanadhamini Azam confederation waksti wama timu insshiriki mashindano hayo. Wanataka hizo timu zisipate wadhammini? Wakawatadutie wadhamini wengine badala ya kulalama.
Back
Top Bottom