Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
Tanzania kweli safari ndefu duh!!!!, tumalize majipu, tujenge shule, hospitali, tuelimishane kuhusu imani za kishirikina na madhara yake kwenye maendeleo ya nchi... Kuna wakati huwa najiuliza na kujijibu mwenyewe... Anyways all in all hizi ni discussions ambazo hazinaga facts, ni mwendo wa...
Kweli tumetoka mbali sana, nakumbuka enzi hizo jokes were just humorous and not "personal". Hoja zilikuwa zinakatwa based on knowledge & experience na si uwezo wa kupayuka. Most discussions were civil and informative. JF iliwapa shida sana watanzania waliokuwa hawaelewi nini maana ya forum...
CCM Imejidhihirisha tena kuwa ni incompetent organization. Waliahidi mikutano ya kisayansi ambayo haijawahi kutokea katika kufunga kampeni zao. Vipi mmeiona hiyo sayansi??????
Hili lichama kwa jinsi lilivyo incompetent hata kinachodaiwa kuwa wataiba kura hawana competence kufanya hivyo nchi...
Anajiamini vipi wakati kipindi chote cha kampeni hajawahi hata kuhojiwa na waandishi wa habari, hata wale wa TBC au UHURU basi. Anaogopa nini??? Mdahalo alikimbia, INTERVIEW ya BBC kaikimbia, si sifa za mtu anayejiamini hata kidogo!!!! Ni mwoga na aliyezoea "staged" events.
Kifupi ni kuwa "Lowassa is a Transition not a Destination", ambayo ni lazima tuipitie kuelekea kule tunakokutaka. EL can then decide kama anataka pia kuwa destination ni hiari yake. Lakini kwa sasa ameaminika kupitisha nchi kwenye hii transition.
Kuna wengi waliinvest heavily kuhakikisha siku hii haifiki kwa namna ilivyofika, lakini mwisho wake iko wazi, Tanzania ni kubwa kuliko majina ya watu, historia zao, na kuungwa mkono kwao.
Mabadiliko ni lazima.
Kifupi ni kuwa Operation Zinduka is simply a failure!!!!!!!!! Haijazindua, haikuja na mpya yeyote, wala mtikisiko kama ilivyokuwa portrayed kabla. Nice try though!!!!
Ni chini ya masaa 24 sasa, kila dalili zinaonyesha CCM chaliiiiii!!!!! Wanaosema ooh Magufuli ashashinda, ooh anakubalika sana lakini angalia nguvu inayotumika kumuuza mgombea huyo. CCM haina ushawishi tena, inabidi iende kilaghai laghai tu ndiyo mbinu iliyobaki.
Hivi unafahamu malengo ya zile kura za maoni TWAWEZA, REDET na SYNOVATE? Ilikuwa ni kutengeneza perception kuwa magufuli anakubalika hivyo basi aidha kuwakatisha tamaa wataka mabadiliko na pia kuwaondolea unyonge mashabiki wa CCM. Cha ajabu ndani ya wiki moja zilishuka kutoka 80% mpaka 62%...
Wote tumeshuhudia jinsi kura za maoni kutoka asasi mbalimbali zilivyoleta kizungumkuti katika jamii. Kuna waliozikubali na waliozikataa na wote walijaribu kutoa sababu kwa nini. Kifupi ni kuwa matokeo ya kura zile hayakuaminika hata kidogo.
Hivyo basi kuna haja ya kuwa na kura ya maoni...
Wiki iliyokwisha tulishuhudia tafiti mbalimbali kuhusu kura za maoni, nyingine zikisema Magufuli kidedea na nyingine Lowassa kidedea. Zote zilipingwa na kuungwa mkono kwa hoja mbalimbali.
Lakini kuna namna tunaweza kuondoa ubishani huu kwa kupiga kura ya maoni isiyo na mizengwe hata kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.