Search results

  1. Lantino melanto

    Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nakumbuka global alliance waliibuka enzi za JPM na watu wakatapeliwa labda mtoa post alikuwa hajazaliwa
  2. Lantino melanto

    Kalynda na dada zake, bila Serikali inayolinda watu wake Watanzania watalizwa sana

    Ongezea na global alliance ilikuwa wakati wa utawala wa JPM na watu walitapeliwa
  3. Lantino melanto

    Tabora special thread

    Tabora na uswahili wapi na wapi wakati ni ulugha lugha tu Huko vijijini mtoto anasoma Hadi darasa labsaba lakini kuzungumza kiswahili hawezi
  4. Lantino melanto

    Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Usiseme inafanana na baadhi ya wilaya za mikoa mingine sema inafanana na Wilaya ya Namtumbo ambayo ipo ndani ya mkoa huo wa Ruvuma OVER
  5. Lantino melanto

    Rais Samia ana mkosi?

    Ni hali ya hewa tu kama ilivyotokea elnino 1998 enzi za mkapa au ilivyotokea vita 1978_1979 enzi za Nyerere Au ilivyotokea Corona 2019 enzi za JPM
  6. Lantino melanto

    Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

    Kama mtoto anapewa ubini wa mama yake mtaachaje kuaibika
  7. Lantino melanto

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA
  8. Lantino melanto

    Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    Angalia Bei wakati wa kikwete katika bidhaa Kama sukari , cement na bati Kisha njoo fananisha Bei za bidhaa hizo wakati wa JPM utagundua bidhaa zingine zilipanda double kabisa , ila tatizo watu enzi za JPM mliweka ushabiki mkaacha ukweli Nsennah nafikiri upuuzi wa kujifanya hamkuona mfumuko wa...
  9. Lantino melanto

    Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Nice Sana [emoji1666] kiongozi
  10. Lantino melanto

    Ushauri wa bure: CCM 2025 itutafutie mgombea sio Samia

    @gladiator4440 ni kweli ule ufisadi wa trillion 1.5 za JPM tumeshasahau.
  11. Lantino melanto

    Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    Hayo Mambo ya vitu kupanda Bei Kama sukari, cement, bati nk tulipiga Sana kelele enzi za JPM mkasema tunatumiwa na mabeberu . Kitu Cha ajabu Leo hii vitu ambavyo tulivipigia kelele enzi za JPM Leo hii ndio mmepata akili ya kugundua. Nyie kwenu watu Walikuwa wakitekwa kwenu ni sawa tu , wakiuawa...
  12. Lantino melanto

    Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Kama JPM alivyompiga vijembe JK wakati enzi za JPM ulitokea mfumuko wa Bei wa kufa mtu Hadi Sasa unaendelea tu kupanda
  13. Lantino melanto

    Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    JPM hakuruhusu wezi na mafisadi kujichotea pesa , lakini yeye ndo akaamua kukomba zile trillion 1.5 ufisadi wa kufuru kabisa
  14. Lantino melanto

    Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Wekeni na Bei za utawala wa kikwete . Hakuna bidhaa ambayo enzi za JPM ilishuka Bei ukilinganisha na utawala wa kikwete
  15. Lantino melanto

    Mpunga wageuka kuwa ndio zao kuu la biashara Tanzania, Uganda, na Rwanda ndio wanunuzi wakubwa

    Mchele sio zao zao ni mpunga, mchele ni product ya mpunga Sawa useme zao la unga badala ya kusema zao la mahindi.
  16. Lantino melanto

    Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

    Kama mtu ambayo anahusika CAG ameweka wazi huo ufisadi unataka upembuzi gani Tena ?
Back
Top Bottom