Search results

  1. Taifa Digital Forum

    "Go to the Vast Countryside"

    Today, we're going to delve into the fascinating history of the Yanghzou slogan and its profound lessons. Join me as we journey back in time and uncover the significance of this ancient wisdom. Historical Context Nearly 2500 years ago, leaders, often referred to as "elders," in the city of...
  2. Taifa Digital Forum

    Polisi wanasa katibu wa CUF na mtumishi wa halmashauri Kibiti wakitengeneza vyeti feki

    Jeshi la Polisi wilaya ya Kibiti limemkamata Rashid Mkinga (36) kwa tuhuma za kutengeneza Vyeti feki vya kuzaliwa. Tukio hilo lililotokea Januari 15, 2024 majira ya saa 1 usiku katika Kitongoji cha Kibiti B, Kata na Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani. Katika mahojiano ya awali yaliyofanywa na Jeshi...
  3. Taifa Digital Forum

    Hekari 125 alizozitoa Rais Samia EAC zina maana kubwa kwa Tanzania

    Mwaka huu 2023 Mwezi Machi 05, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikabidhi hati ya kiwanja chenye ukubwa wa hekari 125 kilichopo eneo la Kisongo Arusha kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwajili ya ujenzi wa Kituo kikubwa cha Diplomasia Afrika. Hii inaishara kwamba Tanzania inakuwa kitovu...
  4. Taifa Digital Forum

    Picha mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Maonyesho ya Nanenane, 2023 Jijini Mbeya.

    Leo ni kilele cha sherehe na maenesho ya Kimataifa ya wakulima Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Tazama picha na matukio mbalimbali yanayofanywa na Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Sent using Jamii Forums...
  5. Taifa Digital Forum

    Podium anayotumia Rais Samia ipo sahihi

    Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya watu wamekuwa wakihoji PODIUM anayotumia Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwamba (haijakamilika) yaani haina Bibi na Bwana pamoja na Mlima Kilimanjaro kama ilivyo kwenye Nembo ya Taifa. UFAFANUZI: Ukiona 'Podium' yenye nembo inayoonekana hapo chini, jua...
  6. Taifa Digital Forum

    Orodha ya Mataifa 10 yanayouza Mafuta kwa bei ya Juu, Tanzania haimo

    Kwa Mujibu wa mtandao wa GlobalPetrolPrices.com unaotoa takwimu za Bei za Mafuta kote Duniani, tarehe 4 Agosti ilitoa Orodha ya Nchi Kumi za Afrika zenye bei kubwa ya Mafuta ya Nishati ambapo baadhi yake zinauza juu ya Wastani wa Bei za Dunia na nyingine zikiuza sawa na bei ya wastani na Bei ya...
  7. Taifa Digital Forum

    Tanzania Kisiwa cha Amani, Kubeba Mkutano wa Wakuu Nchi Zaidi ya 30 za Barani Afrika

    Na:- Diplomatic Agent Ni heshima kubwa kwa Taifa la Tanzania, Taifa la Kidemokrasia na lililojipambunua vyema katika masuala Diplomasia Kimataiafa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za zaidi ya 30 za Afrika utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
  8. Taifa Digital Forum

    Klabu gani ya Mpira imetoa jezi nzuri kuzidi wote mwaka huu?

    Michezo ni moja ya sanaa inayokuwa kwa kasi kubwa nchini Tanzania, katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mijadala mkubwa juu ya masuala mbalimbali yanayoingusa tasnia hiyo kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa soka [emoji460]️. Leo tunakusogezea Jezi Mpya za baadhi ya Vilabu vya Soka Tanzania...
  9. Taifa Digital Forum

    Kibegi cha Simba chawasili juu ya Mlima Kilimanjaro

    Wengi wanajiuliza yaliyomo yamo?
  10. Taifa Digital Forum

    Serikali yawaonya viongozi wa halmashauri wasiodhibiti kilimo cha mirungi

    Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo ametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi zao. Kamishna...
  11. Taifa Digital Forum

    Kamishna Jenerali (DCEA)Aretas Lyimo aonya, Hekari 535 za Mashamba ya Mirungi zateketezwa Same - Kilimanjaro

    Kishindo: Oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, hekari 535 zateketezwa – Kilimanjaro Hekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia kutekelezwa ndani ya vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande, WIlayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro ...
  12. Taifa Digital Forum

    Tanzania kushirikiana na Malawi masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)

    Kufuatia Ziara ya Kiserikali ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Malawi, Nchi za Tanzania [emoji1241] na Malawi [emoji1156] zimeingia Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) uliosainiwa na Mawaziri husika wa pande zote mbili Nape...
  13. Taifa Digital Forum

    Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara. --- PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
  14. Taifa Digital Forum

    Rais Samia amehutubia kwa njia ya Mtandao Mkutano Mkuu wa (9) wa Asasi ya Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (EITI) nchini Senegal

    Katika hotuba hiyo Mhe. Rais amesisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatekeleza vigezo vya kimataifa vya uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa Rasilimali madini, mafuta na gesi asilia kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wananchi; kupambana na rushwa katika sekta ya...
  15. Taifa Digital Forum

    Ujenzi Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) mkoani Mwanza wafikia asilimia 75

    Picha mbalimbali za muonekano wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 4.6 linalojengwa katika eneo la Kigongo - Busisi, jijini Mwanza. Leo Juni 14, 2023 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalogharimu shilingi bilioni 716, ambapo ujenzi wake...
  16. Taifa Digital Forum

    Manufaa yatakayopatikana kupitia Mkataba wa Serikali ya Tanzania na Kampuni ya DP WORLD ya Nchini Dubai

    Ameeleza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa. 1. Kupunguza muda wa meli kukaa nangani kutoka siku 5 kwa sasa mpaka masaa 24. Hii itapunguza gharama za utumiaji wa Bandari yetu. 2. Kuongeza idadi ya meli zitazokuja Bandari ya Dar es Salaam kutoka meli 1,569 zilizohudumiwa mwaka...
  17. Taifa Digital Forum

    Chongolo awataka vijana kujitambua

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, amewataka vijana wa Afrika, hususan kutoka Kusini mwa Afrika, kujitambua na kuwa tayari kuzitumikia nchi zao kwa weledi, uwezo na uzalendo mkubwa usiotiliwa shaka, hasa katika kuendeleza agenda ya kuongoza mapambano ya ukombozi wa...
  18. Taifa Digital Forum

    Nukuu za Waziri wa Nishati, January Makamba Bungeni Mei 31, 2023.

    Mei 31, 2023 Wizara ya Nishati imewasimamisha Bungeni Makadirio ya Bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24.
  19. Taifa Digital Forum

    Ndege Mpya ya Mizigo Boeing 767-300 kuweka Historia ya Kwanza Kimataifa

    Ndege ya mizigo ya AirTanzania Cargo inaleta faida nyingi na inategemewa kuleta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo na kuongeza uchumi katika nchi. Hapa chini ni baadhi ya faida zake na jinsi itakavyosaidia kuleta mabadiliko: Haraka na Ufanisi: Ndege ya mizigo ya AirTanzania Cargo...
  20. Taifa Digital Forum

    Ndege ya mizigo ya Tanzania Boeing 767-300 kuweka historia kimataifa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kupokea ndege ya kwanza ya mizigo Boeing 767-300 yenye uwezo wa kubeba tani 54 kwa mara moja ili kutatua changamoto za wafanyabiashara za usafirishaji wa mizigo duniani.
Back
Top Bottom