Search results

  1. K

    Ubuntu Botho

    aisee nshanunua mazee!! wamenipiga kwa elf 30,,,,,,mbona jumamosi haifiki!!
  2. K

    Kasi ya ongezeko la wajane yashtua, Kagera yaongoza

    Du!! bora mimi nipo single!!
  3. K

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    kuna base ya AMERIKA huko mashariki ya kati imeshambliwa sasa hivi!!!!..nahisi ni kisasi cha RUSSIA hicho!!
  4. K

    Sauti ya umauti masikioni mwangu

    usjali bro,,,MUNGU yupo atakusaidia!!!!! sali sana utaishinda ROHO YA MAUTI"..........kama muislam mtafute sheikh atakusaidia,,kama mkristo mtafute mchungaji atakusaidia,,,,,usikate tamaa kabisa!!
  5. K

    Dar: Mwenyekiti wa Mtaa ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa

    aliyeshitaki MHAYA,na hakimu nae ISHOMILE!!
  6. K

    Ubuntu Botho

    sawa mkuu ngoja nipande bodaboda niende chap kwa haraka zisije zikaisha!!!
  7. K

    Kuhamia DP World au Kubaki TPA: Ushauri kwa wafanyakazi wa TPA

    kufanya kazi chini ya mwarabu ni mtihani mkubwa mno!!!!,,,,,,,,ona dada zetu wanavoteswa huko arabuni,wengine kubakwa na hata kuuwawa au wengine wakijiua kabisa '"kwenye akili ya mwarabu yoyote yule m2 mweusi ni mtumwa"........
  8. K

    Ubuntu Botho

    Hii ki2 inauzwa wapi aithee,,nahitaji!!
  9. K

    Mapenzi yanauma; Kijana Mzimbabwe ajirekodi mbashara Facebook akiwa anajitoa uhai kwa kunywa sumu kisa kusalitiwa

    Aisee,mimi huu ni mwaka wa 3 sasa,,,ndo naanza kupona mdogomdogo!!!,,,,, yaani niliteseka kwelikweli!!!,kama unavosema,,,,,kama una ubongo wa kuku hutoboi,,,ni kweli kabisa!!
  10. K

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    mbaya zaidi, unakuta ndio chanzo pekee cha kipato!!!
  11. K

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    ukisoma "suratul ANFAR" utaelewa.....kuna sehemu wanasisistizwa" strke them hard,kill them,if thy are many i will make see them as few and you are few i will multiply you in their eyes"''''JIHAD!
  12. K

    Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Papa kama papa,ni taasisi,,hawezi kutoa tamko bila kukaa na washauri wake,wajadili ndo wapitishe,,,so kuniambia kwamba papa kama binadamu,huo ni uongo....huwezi kukaa ndani ya choo alaf ukafurahia chakula,,,,,,lazima usikie kinyaa,,,kwamsasa kanisa katoliki linatia kinyaa!!!
  13. K

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Dharau yake haimfikishi popote nguruwe tu huyu,,,kwanza sidhani kama atakula X-MASS akiwa hai!!!
  14. K

    Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    Wasukuma na uchawi ni kama pete na kidole,,mimi nimeishi pale geita,nimetembelea vijiji kadhaa,kiukweli vibaka wanaogopa kuiba kwa sababu mifugo,mashamba,mali na biashara zote zimezindikwa kinomanoma!!!ukijichanganya tu,usipokufa utakuwa chizi!!!..ebu nenda pale GNBUSH kaibe uone!!!,,,,nakumbuka...
  15. K

    Je, kuna Lodge za kulipia kwa siku zinazosupport kuishi?

    ujue nini bro!!!,,mimi nina washkaji kibao nimesoma nao kuanzia secondary,wengine nimekutana nao vyuo mbalimbali nilivopita,jamaa waliokuwa wana ndoto za kwenda nje,waliofanikiwa ni wale tu walioenda kusoma mpka kufikia aidha kupata UPROFESA au PHD kwani huwa wanapata kazi nzuri yenye malipo...
Back
Top Bottom