Search results

  1. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Basi tulia Tu ndugu yangu, watu wanalizwa wanaenda wenyewe bank kutoa ela zote
  2. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Ujawahi kutapeliwa so just Relax Tu, wale jamaa ni kama wachawi hivi
  3. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Haya mambo ombea yasikukute
  4. hp4510

    Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  5. hp4510

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Hata mdude anaona anaandika hoja ila ww unaona matusi Hata Sisi kuna mambo ukiandika tunaona ni matusi Ila ww unaona ni hoja So vumilia tu
  6. hp4510

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Ww unaanzisha hoja, ushaongea maneno ya hovyo Sana Kwa lisu Kwaiyo vumilia Tu Siasa ni kuvumiliana,
  7. hp4510

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    The way ww unamuona mdude ndio the way watu wanakuona ww, hivyo hivyo hamna tofauti, Wote mnaongea kudhalilisha watu, utofauti wenu ni kwamba ww unatukana wa chadema na mdude anatukana wa ccm
  8. hp4510

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Anza ww kuacha kusema vibaya viongozi wa chadema Sio Sawa mdude anavyofanya na sio sawa ww unavyofanya Wewe na mdude tofauti zenu ni ndogo Sana kwenye kuwasilisha Hoja it's almost mnafanana
  9. hp4510

    Paul Makonda kuweka historia kesho ya kupokea ugeni wa Rais Samia, Makamu wake, Waziri Mkuu pamoja na Rais wa Zanzibar

    Ila ww jamaa bwana Chalamila si anawapokea hao kila siku? Mkuu wa mkoa wa Dodoma si anawapokea na kukaa nao kila siku? Unasifia mpaka Mambo ya kijinga kabisa
  10. hp4510

    Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Uwe unasoma na umri wa kujiunga JF
  11. hp4510

    Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  12. hp4510

    Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

    Yes anashinda Goli Tisa
  13. hp4510

    Rais Samia ammiminia sifa Makonda kwa uchapakazi wake

    Unatolewa nyumba ya ghorofa unaenda kwenye nyumba ya udongo na bado unasifiwa wewe ni jembe na mwenyewe unachekelea, utakuwa ni ujuha mkubwa
  14. hp4510

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Mambo mengine uwe unakaa kimya Tu Ameshindwa kuwa mwenezi Bora atakuwa mkuu wa mkoa Bora? Huko Arusha hatomaliza hata huu mwaka
  15. hp4510

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    😂 😂 😂 Wewe si ndio ulikuwa unasifia mambo ya makonda? Na hotuba yake ya juzi ukasifia zaidi 🤣 Leo hauna la kusema
  16. hp4510

    Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Salary sio milion 13, Ila maokoto Yao yote ukichanganya ni 13 Kwa mwezi
  17. hp4510

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Kifo kimetokea mbele ya viongozi wakuu wa ulinzi na usalama Eh ulitaka katiba ifatwe Kwa kufanyaje? CDF ampigie simu vice? Ndio katiba inasema hivyo? Kwanini sio katibu mkuu kiongozi ampigie vice na kumpa taarifa? Ndio maana akaitwa katibu mkuu kiongozi aende dar kutoka dodoma Then ndio...
  18. hp4510

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha Yan ukiona timu ina odd 50 pitia mbali
Back
Top Bottom