Nawasihi tulizeni jaziba wala msichukue jukumu lolote la kuchukua sheria mkononi na wala msitumie silaha zozote katika kupambana nao toeni taarifa polisi kwa msaada zaidi. Njia pekee tunayoiamini sisi wakristo ni kufunga na kuomba nasi tuko pamoja nanyi katika maombi Mungu wetu ni mwaminifu sana...
ALAANIWE MTU YEYOTE AMBAYE AMEHUSIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA KUFANIKISHA SHERIA HII DHARIMU NA KANDAMIZAJI KWA WANYONGE,sasa naamini kuwa sikio la kufa halisikii dawa yaani kila kukicha serikali inawaza namna ya kuanzisha mgogoro mpya badala ya kutatua migogoro iliyopo. Hii ndiyo...
Aisee nilijisikia kichefu chefu sana ile huwezi sema kulikuwa na tatizo la mitambo ni uhuni tu ulifanyika ili tusione kilichoendelea. Mimi nilianza kuwa na mashaka nao tangu jumapili iliyopita katika kipindi cha kapu la tbc tulitegemea watupe matukio muhimu kama taarifa za mtu aliyekamatwa na...
Kuzuia chakula kwenda nje sio sahihi badala yake wenzetu wanapokuwa na njaa ndo fursa ya sisi kuzalisha kwa wingi ili kutosheleza soko. Watu wengi hasa wanaoishi vijijini wanashindwa kuzalisha mazao ya chakula kwa sababu hayana bei nzuri wakati garama pembejeo zinapanda kila siku,lakini kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.