Search results

  1. Pendael laizer

    Leo ndio mwisho wa kutazama TBC, asante kwa muda wote wa Kombe la Dunia, tutaonana tena 2018

    Hata mimi leo naiaga tbc leo na sikuwai kuiangalia zaidi ya bunge tena wakati wapinzani wakiwa ndani wakitoka naamisha channel na hili kombe la dunia tu ndo nimefungua tbc bas byebye!
  2. Pendael laizer

    Godbless Lema: Kikwete usicheze na maisha ya watu kisiasa kukabiliana na milipuko

    wewe si mwana Arusha sisi wanaArusha tunampenda Lema kupita maelezo!!
  3. Pendael laizer

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Team holland tupo wengi sana!
  4. Pendael laizer

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Team uholanzi mpo?
  5. Pendael laizer

    Ipe maneno Picha yangu

    Ccm ni wauwaji kiukwel!
  6. Pendael laizer

    Odinga atia mkono UKAWA

    Kwani Odinga nchini kenya alifanya kosa gani? Kwani yeye ndo alikuwa akiuwa raia wasokuwa na hatia? Au serikali ya kenya baada yakulazimisha matokeo wanayoyataka wao au baada ya kumchakachua odinga?? Hata Tz wakiendelea na uchakachuzi wa matokeo wakati wa uchagizi hapatatulia kabsa!!! Na...
  7. Pendael laizer

    Jina la mwizi wa Billioni 200 za walipa kodi!!

    Ccm ndo waizi wa pesa zetu hizo!
  8. Pendael laizer

    World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    Baooooooooooo!
  9. Pendael laizer

    Laini ya M-pesa ipo kwa hapa kwa bei poa

    Chukuwa elf hamsin
  10. Pendael laizer

    CCM Arusha Kuvunja Chungu

    Hata BATLIDA yule mama aliyeshndwa ubunge alitutishia hivyo hivyo na yeye alisema katumia karbu bilion 1
  11. Pendael laizer

    "maajabu" mwenye division 4 point 26 amepata post ya form five.

    ni error tu hizo maana wakati wanafanya hiyo kazi wakuchagua watakao soma form five walikuwa wamekunywa pombe.
  12. Pendael laizer

    Prof. Lipumba: Kikwete kujiongezea muda wa urais hadi 2017

    Hapa ndipo ninapojua kuwa ccm wanaogopa uchaguzi wa 2015 na pia wanajua dhairi kuwa 2015 hawana chao tena.
  13. Pendael laizer

    Nape Nnauye: Viepukeni vyama vyenye mlengo wa matendo ya vurugu na utekaji wa wananchi

    Sisi hatujawekwa na mtu we gamba tunapenda mabadiliko tu sababu ccm kwa miaka 50 hakuna lolote.
  14. Pendael laizer

    Nassari aisifia serikali

    Sijaeilewa hii habari. Ni skeleton tu, embu jaza nyama kidogo.
  15. Pendael laizer

    Kwa hili nitawachukia wanawake milele. Na sitowasamehe.

    Inaskitisha sana kwa huyu mkuu but achana naye na anza maisha yako mapya na kamwe usimwamini mwanamke kiasi hicho kwasababu utaumia bure.
  16. Pendael laizer

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Nikweli kabisa hata mlipuaji alijua anachokifanya kwanzia kwa mtu aliyemkodi kuwa ni lazima atang'ang'aniwa yeye huyo bodaboda wake ili yeye apate nafasi ya kukimbia kirahisi.
  17. Pendael laizer

    Waziri Nchimbi ahamsisha wabunge wajiunge na mitandao kama JamiiForums

    Tutapambana nao magamba mpaka kieleweke.
  18. Pendael laizer

    Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

    Mnaona anavyojibu huyu gamba? Ni mmoja wabunge waccm waliochaguliwa na wananchi ili kuwatetea bungeni na mtasikia maneno kama haya wakati akichangia live bungen muswada huu ukiletwa na gamba lao.
Back
Top Bottom