Search results

  1. Moshi25

    Taifa Stars gari limewaka

    Mechi ya Morocco tulianza kushanga shangaa tu hatujielewi kama tuko Afcon, baada ya kupigwa Goli moja tukaamka na kutandaza boli kama Brazil tukawabana Morocco REFA akatukandamiza kama kawaida yao kuonea underdogs akamtoa Miroshi Novatus kwa red card na kukataa kuangalia VAR ili asibadili...
  2. Moshi25

    Gamondi wachezaji wanakuangusha!

    Leo wachezaji wa Yanga hawakucheza kitimu kama mechi na mtani ya 5G, wakiendelea hivi na ubinafsi, makundi tu tutaumaliza mwendo, Wao waliamua kutumia fursa kuonesha uwezo binafsi, kwa vile klabu bingwa inaoneshwa Dunia nzima, walikuwa anao anao tu mbwembwe kibao kulazimisha kupiga chenga za...
  3. Moshi25

    Simba imeloaaaa! Khamsa Salam mpya mjini!

    Yanga imedhihirisha ukubwa wake Kwa Simba khamsa za Leo si kitoto japo mi niliziona na nilisema kabla ya mechi kwenye Uzi maalum wa mechi hii , Simba tumewakanda kipigo Cha mbwa Koko 5G kama nilivyotabiri maana Makolokwinyo walizidi mdomo! Pira GAMONDI halina mpinzani ni mwendo wa 5G tu Kila...
  4. Moshi25

    Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  5. Moshi25

    Combination ya Mayele, Musonda na Sopu

    Just thinking from unbeaten utopolo mindset ninaona kabisa iwapo Yanga tukimchukua Sopu acheze nyuma ya Mayele pembeni yao Musonda hata Barcelona wanakaa! Huu utakuwa utatu kama MSN wa Barca au Liverpool Firminho, Salah na Mane! Mpira ni magoli alisema Pele haiwezekani tuwe na straika Kali tatu...
  6. Moshi25

    Mwendokasi UDART mmefeli

    Samahani Leo nimeamka sio poa! Unafika kivukoni mabasi sita yamepaki mnasubiriwa mjazane dakika ishirini nzima mmekaa tu mmejaa hasira Kali eti mnasubiri bus na mnayaona yamepaki hatimae ghafla wanaachia basi moja la kimara wote mnakimbilia spidi kali kupanda kama wanyama pori manyumbu wengine...
  7. Moshi25

    Musonda weka mbali na watoto

    Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki! Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor...
  8. Moshi25

    Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  9. Moshi25

    DOKEZO Mv Magogoni imechoka

    Kiukweli Mv Magogoni imechoka imechakaa Ina mwendo wa jongoo inatia aibu sana hii nchi. Nusu saa nzima kutoka Kigamboni hadi Kivukoni. Yani wakati ukipanda unatabasamu unaona naenda paleee mjini pazuri ila muda unaenda unagundua kuwa hufiki mwisho hadi baada ya saa moja Sasa unajaa upepo...
  10. Moshi25

    Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
  11. Moshi25

    Kim Poulsen wamemtimua Taifa Stars?

    Kim Poulsen wamemtimua kufundisha timu ya wakubwa Taifa Stars but it is too late! Tumepigwa nyumbani mechi muhimu sana Algeria na Uganda wakamalizia kwenye mshono! Nilizungumza sana kocha hatufai huyu TFF hawakusikia wanamtimua kumekucha! TFF wamuombe Prof Nabi asaidie benchi la Taifa Stars...
  12. Moshi25

    Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
  13. Moshi25

    Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

    Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa...
  14. Moshi25

    Kocha Kim ameingamiza Taifa Stars na Sub zisizo sahihi

    Wanabodi Timu yetu ilicheza vizuri sana. Tuliwamudu kabisa Algeria hadi Dkk ya 40 tukafungwa goli la bahati mbaya la faulo linalofanana kabisa na goli la kwanza Algeria walilowafunga Uganda hivi benchi la ufundi na wachezaji wetu hawakuangalia ile mechi kujifunza upigaji faulo wa Algeria ...
  15. Moshi25

    TFF iwaandikie barua CAF kupinga kuchezeshwa mechi zetu za Afcon qualifier na waamuzi wabovu

    Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa kona kimetia aibu mno waamuzi wapumbavu wa kiafrika wanaobeba timu zao bila aibu. Leo kila mchezaji...
  16. Moshi25

    Niger vs Taifa Stars | Tufanyeje kuweza kuwafunga Jumamosi?

    Wanabodi. Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why? Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya Taifa ikiipasua Niger jumamosi hii? Samatta mechi za kirafiki ameonesha ni mzuri sana kwa assist...
  17. Moshi25

    Simba bado tu haijamtimua Pablo?

    Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania vibanda umiza,mashabiki wa Simba kushindwa kuvaa jezi zao mitaani kwa kuona aibu ya kuwa wabovu...
  18. Moshi25

    Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo 3. Simba kuwa mbovu na...
Back
Top Bottom