Search results

  1. RUV ACTVIST.

    Dar: Mwanafunzi anayedaiwa kupotea, Abdul Nondo akabidhiwa kwa DCI

    Vyombo vyote vya habari vimemtelekeza.......neo kuogopa au mini,hakuna anayfuatilia na kutujuza mini kinaendelea kwa kijana wetu nondo
  2. RUV ACTVIST.

    Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Hii hukumu ina athiri vipi ubunge wake.....naomba kujuzwa kwa wanaojua
  3. RUV ACTVIST.

    Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    Kulisha andaliwa mpango was kummalizia......tuliwashitukia ndo maana tulikataa
  4. RUV ACTVIST.

    Padri Mapunda: Wapinzani sio maadui, Mfalme Suleimani hakujifanya Mungu mtu. Magufuli ajifunze

    Wewe ndo juha number moja.....bado kugeuzwa makalioni tu
  5. RUV ACTVIST.

    Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Mnakera hamstahiri hata jina moja la heshima......
  6. RUV ACTVIST.

    Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Hauoni wala kusikia wanakifanya?? Au ndo walewale??
  7. RUV ACTVIST.

    Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania
  8. RUV ACTVIST.

    Swami LA ufahamu.....aliyesaafu kabla ya majina kutoka

    Atapata staiki .zake.....??
  9. RUV ACTVIST.

    Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    CCM wametumia trick.....kuweka watu 12 hakugaranttee kupata wanawake kwenye uchaguzi na hivyo hakutoi uhakika wa kupata 1/3
  10. RUV ACTVIST.

    Tanzania sio ombaomba.....

    Nakumbuka alisema haiwezi kuwa ombaomba.....amtekeleza
  11. RUV ACTVIST.

    Hivi CCM kuna wasomi?

    Kama umesoma bila kubebwa na hutegemei fadhira toka CCM huwezi kumpenda CCM kwa mahaba tu .....huo ndo ukweli wasomi hawaipendi CCM
  12. RUV ACTVIST.

    Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Polisi hawakuwepo kuwaibia kura maccm
  13. RUV ACTVIST.

    Wauza viroba wadai fidia kwa serikali

    Kisheria limekaeje?? Wafanya biashara wa viroba,walipewa vibali na serikali,wamenunua bidha na kulipa kodi,wanaweza kudai fidia??
  14. RUV ACTVIST.

    Ni serikali yeye baraza LA mawziri au serikali ya MTU moja??

    Nauliza tu baraza LA mawaziri limebariki hizi kauli za mkuu wa Maya.....?? Kweli tz hakuna njaa?? Au ni serikali ya MTU mmkja tumsikie yeye??
  15. RUV ACTVIST.

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Hivi kipimo cha uchochezi kinaitwaje......?? Maana wote mkuu wa nchi akiamua tutaitwa wachochezi
  16. RUV ACTVIST.

    Rais onyesha kuwa wewe ni wa wote kama ulivyoahaidi!

    Kamtembelee gerezani hata kama sio wa kwako onyesha ukuu wa kaya hata kama kawekwa kwa maelekekezo yako,jikoshe tu kidogo....
  17. RUV ACTVIST.

    Huyu MTU sio ni wa kumwogopa kama ukoma....Giza sio zuri

    Anajulikana sana huyu anayetaka kutuingiza gizani,tumwogope kwa sababu tukishazama gizani hamna wa kufaidi zaidi ya kugongana vichwa....
Back
Top Bottom