Search results

  1. mhindi1978

    Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

    kifupi kubishana hakutasaidia,mimi binafsi nimeonana nae jana na kikweli amechoka na ana uchungu kwani amekaa miaka 17 jela huko malawi baada ya kukamatwa na mzigo wa madawa ya kulevya,akitokea south africa,amechoka hata ukimuona utajua huyu amepigika but kulingana na maelezo yake leo atakua...
  2. mhindi1978

    Marafiki Wa JF & Regia Kukutana Ijumaa Hii 27-01-2012

    sorry,nmejitahd ili kesho niwe dar nimeshindwa kutokana na majukumu,niko trip moro kikazi but nmeondoka bila PC,navyoona kurudi dar mpaka j2 naamini kutakua na muendelezo kwani kuna mengi ya kuzungumza ktk kumuenzi mh. Regia na kuendeleza mazuri aliyokua anayapigania
  3. mhindi1978

    Kujenga jamii yenye tabia ya kujikosoa kwa Tz

    Kanguni nimekulewa,kumbe ndiyo formula ililyotumika kwa Luhanjo na Jairo,issue yao kimya kimya Jairo alipewa likizo yenye malipo na Baba Riz baadae mpaka amestaafu huyoooo.hii itatumaliza viongozi hawana aibu wanavurunda wapo tu na mkuu wa asemi kitu,mfano Issue ya Ngereja na wenzao...
  4. mhindi1978

    Kujenga jamii yenye tabia ya kujikosoa kwa Tz

    Kwa maoni yangu,kuna haja ya kuanzishwa somo toka elimu ya awali ambalo litajenga tabia ya kujiudhuru(kuresign)pale panpokua na utendaji mbovu,ukiukwaji wa misingi,sheria na kanuni za kazi,kuboronga bila kusubiri umma ukushurutishe kufanya hivyo.but also masomo yatakayo jenga commitment kwa...
  5. mhindi1978

    Tofauti ya makabila na mantiki yake kwa jamii zetu

    Hiv kwa kuangalia tu tofauti ya makabila kwa maana ya mfumo wa maisha,behaviours,attitude,n.k vina maana yoyote katika Tanzania,mbona makabila mengine yanaonekana active sana na mengine yana strong decisions compared to others.mengine yanadanganyika sana na uozo wa wanasiasa hususan wazee wa...
  6. mhindi1978

    Intro;new member

    thax@Kaeso
  7. mhindi1978

    Intro;new member

    Nimejiunga JF kubwa ni kupata news ambazo mostly n current pia mambo yote ya kijamii,ni mtandao bora sana kulinganisha na mingine,nc sunday 2 all members na iwe ya kutafakari
  8. mhindi1978

    Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

    Umeyataka,mrudie Mungu atakuokoa,hayo co maisha
  9. mhindi1978

    African Millionaires: Ali Mufuruki

    Nina shaka na utajiri wake,but u know watu wengi wenye pesa wana story ndefu na mara ntingi ni chafu au mbaya,about age sikubaliani fanya taft utujuze ukweli co kutudanganya
  10. mhindi1978

    Regia Mtema is No More!

    R.I.P mpambanaji Regia
Back
Top Bottom