Search results

  1. M

    Graduate studies/programs zisizolipa kabisa hizi hapa!

    Research ni kwa mazingira ya USA Bongo mtu anakuwa senior baada ya kufanyakazi just miaka 3 wakati USA hata sio intermediate is still Junior. Ingawa kuna baadhi ya point ziko valid kwote mfano kuna baadhi ya fani za engineering you dont need masters degree in a job market badala yake...
  2. M

    Waziri wa fedha hawezi kutamka neo TRILIONI

    Kama wewe mwazisha thread huwezi neno ""NENO"umeandika "NEO"...yale yale asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe.... Acheni mambo ya ajabu umepost kwenye jukwaa la Siasa bora uke post kwenye jukwaa la viroja tungechangia kwa misingi ya viroja na utani.Hapa discuss substance ya alichosema
  3. M

    Ratiba ya maziko ya mama yetumpendwa..mama pdidy kesho saa nane

    Pole sana na uwe na nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Walio karibu hope watatuwakilisha vema
  4. M

    Dr. Mwakyembe apiga mkwara kwa wahusika reli ya kati

    You need to be result oriented to make development. You need to do not try You need to delivery well according to the strategic plan..sio kuishia kusema serikali ina mipango mikakati kadha wa kadha kama tunavyosikia bungeni na kwenye majukwaa kila siku or chep popularity through the...
  5. M

    KWA MLIOKO LONDON au mliokuwepo mkarudi. Ushauri.

    Siko London niko USA.... Kama jamaa livyokwambia hapo Tafuta network ya watu hapo London angalau wakusaidie accomodation unaweza kuchemsha kazi unawezausipate mapema ingawa uzuri wa miji mikubwa kazi zisizo rasmi hazikosekani ni wwkuchangamuka na kutokuwa na noma ....anyway wasiliana na wabeba...
  6. M

    Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    Ni kweli je nikija kukana ID yangu yenye jina la ukweli? actual kama ulivyofanya wewe hapo nyuma...
  7. M

    Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

    Ugumu wa kitu ni ugumu wa ww kukielewa nothing more nothing less. With that been said,PGM is not for you ,you can not easily understand...but for other people it might be just simple as they find it.
  8. M

    CHADEMA, umati wa Jangwani si nguvu ya chama! Ni kuchoka kwa vijana

    Mmezoea semina za siku zima mtua anaongea masaa ...pangilia unachosema in 5min pitch ni muda wa kutosha sana ili kila mmoja aongee ukizingatia kila mmoja ana influence tofauti kwa watu. Si mnaona waoenda kuongeana wazee a dar es salaam masaa mengi point zakutafuta
  9. M

    Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

    anayejua maana yake anijuze..........
  10. M

    Nafasi za Kazi TANAPA

    What the hell hand written letter..that old fashion..no wonder we using jembe la mkono
  11. M

    Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career?

    People get life mwacheni huyu bwana na maisha yake nae.... Anaweza kuwa anakosea au anapatia ila kwangu ni binafsi sana unless kiongozi wa umma
  12. M

    J. Kikwete + Salma Kikwete = $10,000 per diem, tax-free?

    Unasikitisha kushabikia uombaomba ..mbona infrastructure hazionekani
  13. M

    Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

    You are too slow ....
  14. M

    Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

    Huu msiba uko wapi nataka kuuzulia ,kama itakuwa mbali nami nani anakusanya rambirambi Huyu jamaa amekufa akishangilia timu yake duh
  15. M

    Bayern Munich itatwaa ubingwa wa ulaya 2012

    Mtabiri Juha wewe !!!!!!!!!!!!!! siku ilipowadia ulitakiwa usubiri matokeo Ati 3-1 Ila sishangahi kna Juha mwezako mwezako aliweka dau kwenye special Olympic ile olympic ya vijana wenye special need(matahira)..sijuhi alikuwa ana guarantee gani
  16. M

    Rais wa Tanzania kufanya mahojiano na MSNBC-Andrea Mitchel

    Kushughulikia kilimo ni swala lililo ndani ya uwezo wetu Muhimu hapo alichotakiwa kuongea ni kuwa serikali yake wa waTz watafanya kilimo anaomba soko tuu . Watutaki wawekezaji mpaka kwenye kilimo tunataka soko ...hu ni mpango wa kumilikisha wengine ardhi yetu. Nahisi Rais anania nzuri towe...
  17. M

    Msaada Link ya porn ya Rihana inatesa watu Facebook

    kama unataka mtu asiku tag na picha usizotaka nenda kwenye setting weka hiyo restriction mtu akiku tag haikubali mpaka u aprrove. Heading haiendani na body kwa nini....if possible badilisha sio vema kuomba link hapa kuna underage you never know
  18. M

    jamani siibiwi kweli hapa?

    laki nayo ni pesa nowdays...!!!//no if you approve what she said mpe ...otherwise if you feel kuchunwa act accordingly
  19. M

    Research Methods courses

    I'm not with any training entity ..just wanna help for free If you need certificate that something else....I thought you need knowledge regarding the said topic. Nilikuuliza unajua unachotoka ? maana the topic itself inaweza kuwa deep depends on the need . Na sina uhakina kama kuna training...
Back
Top Bottom