Search results

  1. Tempest

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nilichukua huu mzigo wa 10Mbps uko poa sana nilikuwa nahofia huku mbezi ndani ndani itazingua , 5G haitopanda ndio lakini sidhani kama utahitaji 5G kwa 10 Mbps sababu hii 4G+ muda wote speed inakwamia 12Mbps na mimi huwa muda wote na stream up to 1440p bila shida Mfano wa streams nazotumia Dstv...
  2. Tempest

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Zipo sema za gharama hiyo issue ni speed maana nyingi ni 3G, za 4G ni kuanzia 30 na kuendelea
  3. Tempest

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Na pia kwa speed hii ku stream online si fresh?
  4. Tempest

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Simu nna 4G tu ambayo inajitahidi kidogo , nahofia kununa na device yao halafu iwe miyayusho Natumiaga ile ya 30+ GB sa SME hainaga shida ila muda mwingine tu inaweza kuwa slow
  5. Tempest

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wale wa Airtel 5G Speed ipoje? 10Mbps inakuwa fresh? nipo mitaa ya mbezi luguruni airtel wanasema 5G inapatika kote Dar sasa hivi kwahyo huko hakuna shida, maana natka kuchukua hii au Voda sema voda gharama juu kidogo
  6. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwasababu hakuna za uhakika hata jamaa hapo akionyesha loss zitakuwa nyingi zaidi ya win
  7. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio yangu lakini kulikuwa na games 55, kwa 10k ushindi 45M
  8. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    9C2A42A pawa, weka hata 50tsh
  9. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Watu wa namna hii ni wengi sana , kwann usipige screenshot ukawa na ushahidi? Na kwann wakubadilishie timu ukiachana na betPawa hakuna kampuni yoyote ya betting Kwa Karne hii inaweza kufanya hivyo Hapo hata ukienda Gaming board wanakupotezea maana hakuna evidence
  10. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamaa wa Uganda, ametangazwa na betPawa ya huko
  11. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    https://i.ibb.co/tb1KPxS/UG-Peter-S.jpg Vijukuu vya mtume hvi
  12. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huwezi, hapo jisajili upya kwa kutumia namba nyingine
  13. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    B449EE3 - Stake ndogo ndogo tu 16 Max (betPawa)
  14. Tempest

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wameshindwa tu biashara, ushindani mkubwa hawakujipanga, na hapa kama hujuani na watu Gaming board watakuletea sana mizengwe wakupige pesa ndio maana wenye roho nyepesi wanakimbia
Back
Top Bottom