Search results

  1. A

    Mateso tunayopata wateja wa ALAF

    Habari WanaJF nililipia bati Alaf mwezi mmoja uliopita nikataarifiwa bati zinatoka leo nipeleke gari ya kupakia. Nilipeleka gari yangu asubuhi ya leo ila mpaka saa hizi saa mbili usiku. Hii ni kero kwa kweli
  2. A

    Vifurushi vya Tigo

    Wadau kwa anaejua jinsi ya kujiunga kifurushi cha mwezi cha tigo ambacho unakatwa 15000 tu. Nawasilisha
  3. A

    Ndoa za hivi

    Heshima kwenu wakuu, nimeona baadhi ya watu wakitumia ubini wa kike . Kwa mfano Charles Maria au grace Maria . Na kuna tetesi kuna baadhi ya makabila yana utaratibu wa wanawake kuoa wanawake wenzao. Je wadau kuna ukweli juu ya haya?
  4. A

    kuna nini dawasco

    hiki kitendo cha kukataza wateja wao wasiuzie majirani maji ilhali viosk vyao walivyoviweka mitaani havitoi huduma.mimi hapa nashindwa kuwaelewa dawasco.
  5. A

    Usafi wa vigae

    habari wadau nina hitaji wale wataalam wa kusafisha vigae kwa mwenye kuwa na namba zao naomba anijuze kwa kupitia hapa jf
  6. A

    Wapi kituo cha waathirika dar

    Salaam wakuu, hivi hapa dar kuna kituo cha kuwatibu waathirika wa madawa ya kulevya? Kwa maana ya kambi maana nina shemeji yangu hashikiki kwa hayo madawa licha ya kwamba anatibiwa muhimbili na pale amana hosp. Mambo naona si mazuri
  7. A

    Nimeianza hivyo

    Jamani kwa anaependa kujiunga nami nipo hapa mrc ukumbi ninaianza cristmas kwa wanaopenda kujiunga nami nawakaribisha kwa moyo mkunjufu
  8. A

    Bibi bomba live

    Wadau naona kipindi kinarushwa live na kuna bendi inatumbuiza kinacho nichanganya bendi inaimba nyimbo za kiingereza wakati hao mabibi wenyewe hawajui hiyo lugha
  9. A

    Jamani huu sasa ni wizi

    Wakuu habari za pilika za mchana kutwa . Leo mchana nimepigiwa simu kwa no. Ya zain nilipoipokea sauti ni ya kike ikinishawishi ninunue miziki kwa akupigiae, nikakata sim cha ajabu ikaja meseji ikinitaarifu kuwa nimekatwa sh 400 kwa ajili ya mziki walinichagulia bila idhini yangu. Sasa wadau...
  10. A

    Yamenikuta mwenye no sim ya pcb msaada

    JIRANI YANGU AMENUNUA BAISKEL INAYOSEMEKANA NI YA WIZI .MWIZI AMEKAMATWA YUKO O/BAY BAADA YA KUMINYWA AKAMTAJA ALIEMUUZIA WAKAMKAMATA USIKU WAJANA WAKAMWEKA KITUO KIDOGO CHA MIKOCHENI .KTK HANGAIKA YANGU YA KUMNASUA JIRANI ,TUKAKUBALIANA BASKFLI ILETWE ILI MAMBO YAISHE.CHAKUSHANGAZA BAADA YA...
  11. A

    Hii kali mwaka wa nne hajaona siku zake

    Ana umri wa miaka 30 na haoni kabi siku zake . Ila kiuno kinamuuma sana afanye nini maana anahitaji watoto
  12. A

    Nisaidieni wana jf

    Mwenzenu kila nikikojoa njia ya mkojo huwa inaniuma sana je?nitumie dawa gani?
  13. A

    Hodi wakubwa.

    Mkubwa mkubwa tu jamani! mie mgeni humu jamvini na naombeni ukaribisho wenu...
Back
Top Bottom