Search results

  1. ANAUPIGA MWINGI

    Miche ya Dragon matunda inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Kuna Mama mmoja ni nanajuana naye anatafuta Miche ya Dragon idadi ya kutosha anataka kulima pande za Muheza Tanga, kama kuna mtu ana connection inapo patikana aniambie please.
  2. ANAUPIGA MWINGI

    Kwa nini Asia walikataa Utamaduni wa Wazungu ikiwemo Dini?

    Asia ilitawaliwa sawa sawa na Africa,ila cha kushangaza ni kwamba Asaia tofauti na Africa wao walikataa vitu vingi sana vya wakoloni wao. Asaia walikataa Dini na na pia utamaduni wa wazungu na sana walichukua elimu pekee. Mfano India ilitawaliwa na Uingereza ila huwezi kutana na Muhindi...
  3. ANAUPIGA MWINGI

    Demokrasia ya Kenya: Ruto aagiza Polisi watoe Ulinzi kwa Raila Odinga

    Kuna baadhi ya vitu wakenya wanafanya ambayo sio levo ya Afrika kabisa bali ni ya huko Ulaya na America. Raila Odinga anapanga kufanya mikutano kwenye baadhi ya miji mikubwa kama Nairobi, Mombasa, Kisuma Nakuru na Kakamega. Saaa cha ajabu William Ruto ameagiza Waziri wa Mambo ya ndani...
  4. ANAUPIGA MWINGI

    Teknolojia ya Kenya ya kupambana na Trafiki wala Rushwa Barabarani

    Fungua video hapo uangalia, Kuna cha kujifunza
  5. ANAUPIGA MWINGI

    Mnao uliziaga Kilimo cha Dragon fruits, tafuta huyo mtu

    Kuna raia humu niliona wanaulizia ulizia kilimo cha Dragon, fuatilia hii link kule facebook. Utajifunza kitu
  6. ANAUPIGA MWINGI

    Cruise Ship zishakuwepo hata enzi za Magufuli, tuache uchawa

    Hii nchi inezidi uchawa kabisa, sasa leo meli ya utalii kutia nanga Dar imekuwa ni kwa sababu ya Royol tour, Je vipi zilizo kuwa zinakuja kipindi cha nyuma? Wakati wa mwenda zake tu zilikuja meli kibao. Angalia hapo
  7. ANAUPIGA MWINGI

    China inaongoza kwa kuwa na mikopo ya mashariti magumu sana, je sisi ni wa kipekee?

    Nchi zote zilizo kopeshwa na China leo hii zina lia kilio kikuu, na uzuri wa China yeye anakukopesaha hata kama haukopesheki na hii ni kwa sababu anajua ukishindwa kulipa atachukua mali. China mashariti yake ni magumu sana na yako kwenye kutaka favour kwa kampuni zake na Raia wake. 1. Raia wa...
  8. ANAUPIGA MWINGI

    Mji wa Mwanza kuwa na tatizo la Maji ni Aibu kuu kwa CCM

    Huwezi amini Mwanza ba viunga vyake kuna uhaba sana wa maji na ziwa likiwa 40 tu. na kuna raia wanadanganywa na kuaminishwa hii Serikali inaenda kubadili nchi. Kama Kusupply maji kwa Mji wa Mwaza kutoka ziwa Victoria wanashindwa ni vipi waweze mambo mengine? Egypt inategemea maji kutoka Ziwa...
  9. ANAUPIGA MWINGI

    Daraja la Crimea laanza tena kupitisha Magari baada ya kushambuliwa kwa Mlipuko

    Warusi wamekarabati Daraja na limeanza tena kufanya kazi, hii ni baada ya kulipuliwa na Magaidi wa USA.
  10. ANAUPIGA MWINGI

    Ruto anataka Ksh 300b(Trilion 6 Tsh) zipunguzwe kwenye bajeti ya Serikali

    Billion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika. Lakini tujiulize Tanzania...
  11. ANAUPIGA MWINGI

    Panya Road ni zao la mfumo mbovu wa elimu, na Watawala kutokujali

    South Africa ina moja ya Jeshi la Polisi lenye vitendea kazi bora kabisa kwa Bara la Afrika lakini angalia uhalifu. Hawa Panya Road tunajidanganya wataisha kwa kuongeza nguvu na kumwaga polisi wa kutosha mitaani, hii ni zima moto tu, je chanzo cha hao panya road ni kipi? Je, watawala wana dili...
  12. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Tanzania ya Viwanda ni hadaa kubwa sana na hakuna kitu kama hicho

    Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya viwanda kabisa na tukaambiwa kwamba ukiwa na vyerehani 4 basi ni kiwanda na ukiwa na mashine ya...
  13. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Tunaweza itumia JamiiForums kuleta mapinduzi makubwa ya Kibiashara miongoni mwetu, tuanze sasa

    Moja ya vitu ambavyo vinatuchelewesha sana watanzania basi ni ubinafisi, tuna ubinafisi wa kutisha sana na ambao hauna afya kabisa mbele ya safari zetu, nakumbuka kipindi cha nyuma ilianzishwa hadi Jamiiforum saccos, ila hii ilikufa si kwa sababu ya wizi hapana ni kwa sababu ya ubinafisi mkubwa...
  14. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Je, umeanza kuwaandaa watoto wako na mwisho wa human labour?

    Kazi za binadamu au human labour ni kazi zimekuwepo miongo na miongo mingi sana hapa Duniani. Ila kuna dalili kwamba zinaelekea kufikia mwisho muda si mrefu sana kutoka sasa. Katika mkutano wa World Economic Forum walikadiria kwamna hadi mwaka 2025 ajaira million 85 Duniani zitachukuliwa na...
  15. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Kama huna muda wa kusimamia miradi yako, bora ununue hata Bond za Serikali, kuliko kuteketeza pesa zako

    Kwenye swala la kuhustle watanzania wengi tumekuwa na juhudi za kuanzisha kitu cha kando au biashara au miradi ya kando ili basi iweze kutusaidia kupambana na miasha ikisaidiwa na mshahara tunao pata. Wengi tumekuwa na biashara mbalimbali ikwemo Kilimo, Ufugaji, Maduka na kadhalika, Hii yote...
  16. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Tatizo la VICOBA ni kuvunja ile miiko yake, VICOBA ni nzuri sana

    Tanzania VICOBA inaogopwa sana kwa sasa, na kosa ni kuvunja miiko yake, VICOBA AU Saving group, Village Saving and Loan Associations(VSLAs) na kadhalika ni wazo ambalo malengo yake yalikuwa ni mazuri sana kwa walio asisi, VICOBA Kwanza tutambue haiko Tanzania pekee yake kwenye Bara la Africa...
  17. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Mitihani ya Taifa ni kikwazo kikuu kwa elimu bora Tanzania. Ifutwe kabisa

    Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo ambao tangu nikiwa mdogo nimeukuta na hata wazazi wangu nao wameukuta hivyo hivyo na huenda hata watoto wetu wakaja kuuacha hivyo hivyo. Huu ni mfumo wa kikoloni, mfumo ambao umejikita sana kuandaa watoto kufauu mitihani ya Taifa, ni mfumo wa kushindanisha...
  18. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Royal tour ni fursa kubwa sana kwenye Kilimo, je tunatumia hizo fursa?

    Mwaka huu Tanzania ilikuwa na kampeni kubwa sana ya kutanga utalii Duniani na kwenye hio kampeni inayo enda kwa jina la royal tour ilizinduliwa Marekani ambapo ndo kitovu cha utalii Duniani na pia likiwa ni taifa linalo toa watalii wengi sana Ttanzania na wenye mafuta kama waongoza watalii...
  19. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Tuandae wasimamizi wa kuendeleza Mawazo yetu mapema/Msimamizi wa biashara ya familia

    Moja ya vitu vinavyo tusumbua sisi ni swala zima la kuandaa Mrithi wa kusimamia mali pale ambapo Mungu anapo kuwa ametuita. Kwa watu kama wazungu au Wahindi hiki ni kitu cha kawaida kabisa kwao ambapo msimamizi wa baadae wa biashara za familia huandaliwa mapema sana na hii ni kwa sababu hakuna...
  20. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Kwenye Ujasiriamali wangu, nalenga kwenye bidhaa na huduma zangu nipate sarafu na sio noti

    Nchi yetu ina pesa yake ambayo ni shilingi ya Tanzania yaani TSH, na hi pesa imegawanyika kwenye kwenye thamani mbalimbali, na hizo thamani ni kama zifuatazo; 50/, 100/ 200/, 500/ 1,000/, 2,000/ 5,000/, 10,000/ Napenda sana kwenye biashara yangu niwe natafuta sarafu za sh 50, 100, 200 na...
Back
Top Bottom