Search results

  1. sioni

    Wachimbaji wadogo waliofukiwa Nyangalata, waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa siku 41

    Wameokolewa ila mmoja alishafariki siku 15 zilizopita. @ MeinKempf
  2. sioni

    Wachimbaji wadogo waliofukiwa Nyangalata, waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa siku 41

    Natumai hii habari ya kufukiwa binadamu wenzetu hawa wakisaka riziki iliwaumiza wengi kama ilivyofanya kwangu pindi habari zile zilipotangazwa. Nilijiuliza mambo mengi sikupata majibu hasa jitihada za kuwaokoa zilizofanywa pamoja na wao kuwasiliana nao kwa simu. Nilijiweka kwenye nafasi yao huko...
  3. sioni

    HELP - Admin Panel :(

    Nyingi huwa http://www.websiteyako.kiungo/cpanel
  4. sioni

    Ukiona umefika miaka ya thelathini haujaoa/kuolewa, jifanyie assesment mwenyewe

    Hebu pitia huu uzi kwanza (Kumbuka kujumlisha miaka 5 mpaka 10 mbele, wenzetu wametutangulia kwa zaidi ya miaka hiyo) https://www.yahoo.com/health/the-right-age-to-get-married-126672874767.html Kumbuka pia watu wanatofautiana sana...kuanzia namna wanavyofikiri mpaka utendaji wao.
  5. sioni

    Ni mwaka umepita tangu wife kubakwa,bado nashindwa kulala nae

    Nilikuwa nataka nipite tu kama kawaida ila hapana, hapa lazima nitie neno. Huyo unayefanya naye huo upuuzi kwa sasa umemkuta bikira? Kama ndio basi nitatafuta la kukujibu. Kama sio..je, unajua ametembea na wangapi au anatembea na wangapi mpaka sasa? (Hoja yangu hapa ni uwachukulie hao...
  6. sioni

    Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

    Ndugu naomba jina la kitaalam la haya machungwa please!!!
  7. sioni

    Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!

    Mmh mimi hawa hawanivutii kabisa...huwa nikiwatazama napatwa na hali fulani hivi kama kutapika..sorry..! Nina kaugonjwa na hawa wanaovaa kama picha niliyoiweka hapa...(..sijui ni ugonjwa..??). Hawa wenzetu bana nawasifu sana, na wa namna hii asilimia kubwa wana tabia na maadili mazuri sana...
  8. sioni

    Mavazi ya siku hizi jamani..!! Ni shidaaaa...!!

    Mmh mimi hawa hawanivutii kabisa...huwa nikiwatazama napatwa na hali fulani hivi kama kutapika..sorry..! Nina kaugonjwa na hawa wanaovaa kama picha niliyoiweka hapa...(..sijui ni ugonjwa..??). Hawa wenzetu bana nawasifu sana, na wa namna hii asilimia kubwa wana tabia na maadili mazuri sana...
  9. sioni

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    MSHAURI MAMBO HAYA NA IKIWEZEKANA SAIDIANA NAYE KUFANYA HAYA:- 1. Ajiridhishe kuwa mke wake anafanya au aliwahi kufanya huo mchezo. Kama alikuwa anafanya kabla au wakati rafikiyo yuko masomoni basi mwaweza fuatilia au kufanya uchunguzi kujua hilo. Mfano mwaweza anza kufuatilia nyendo zake kwa...
  10. sioni

    Mabinti wa kikorea ni warembo na wazuri sana kuliko viumbe vyote( mtazamo wangu)

    That is very very true! Sio urembo tu...yako mambo mengine pia! Nilikuwa na wangu kuoa ilikuwa shida sana sababu ya tamaduni ya kwake. Wazuri kwenye maeneo yote matatu!
  11. sioni

    Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

    I TOLD YOU!! Unakumbuka hii topic??: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/509447-kwanini-si-muumini-wa-serikali-tatu-post7171659.html#post7171659
  12. sioni

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Tehe tehe...Ukijumlisha na hali ya sasa + vitambi + uzee kitendea kazi kinageuka kibamia! Ndio maana katafuta dogodogo kupata friction! Pesa ndo kila kitu simlaumu huyo mtoto...shida, matatizo - zaidi yanayotokana na Uyatima ndio zimempeleka huko! Mzigo wa matatizo unakuwa mzito sana kwa...
  13. sioni

    Kafukuzwa kazi, sioni haja tena ya kuolewa nae!!! ushauri wenu muhimu wapendwa!!

    Oooh Money honey...my true love, my only true friend! I will never let u go!
  14. sioni

    je kuna ubaya kumpenda mtu kwa sababu ya pesa zake?

    Unamanisha KUMPENDA au KUMTAKA? Kama pesa zimesababisha ukampenda..i mean..kumpenda! Basi hakuna mbaya...ingia ukazitumbue ila pia tafuta namna mushirikiane kuzitengeneza zaidi!! Pesa ndo kila kitu bana, nami nalundika zikifika dola milioni tano nianze kumsaka Lara 1 kwa udi na uvumba!
  15. sioni

    Huyu ndiye mchawi aliyedondoshwa na maombi ya makomandoo wa vhm alfajiri

    Wana JF..Nafikiria sana nifanye utafiti kwenye hili eneo la usafiri wa njia hio wanaotumia hawa wana science wetu!...au kama kuna atakayetaka tufanye utafiti huo kwa pamoja mimi nitafadhili kila kitu, ni PM!! Lazima kuna ya kuboresha humo ndani twaweza ukwaa U-PRO bila jasho jamani!...kwa kiasi...
  16. sioni

    Nimechemshwa Ubongo jamani

    Kazi kwelikweli.... JIBU SAHIHI NI HILI HAPA: Kwanza ufafanuzi:- 2-1+1 Hii haina mabano, wala gawanya wala zidisha. Ina jumlisha na toa. Namba yoyote bila alama ya jumlisha au toa kushoto kwake inabaki (by default) kuwa jumlisha. Rejea mahesabu ya hasi na chanya...loh darasa la pili??? Hivyo...
  17. sioni

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Mmh nilitaka kuchangia ila baada ya kupitia "replies" kadhaa nikaona niishie kuedit ili waelewane vizuri, maana tayari nilishabonyeza kidude cha reply! Looh Et nanii..sokoinei, hilo hapo juu jekundu napaswa niondoe _y_ _ _ sio?:confused2:
  18. sioni

    waifu ananikaba...!!!!

    Mbona sijaona analokukaba nalo hapo? Kutaka muwe pamoja, kukupigia simu etc etc ndio kukabwa?...Broda utakuwa na mishemishe isiyo rasmi ndio maana unaona wakabwa. Mpende na mfanyie kama anavyokufanyie halafu uone kama na wewe utakuwa unamkaba!! Au na yeye angekuwa anakwenda kwenye hayo ma-patiz...
Back
Top Bottom