Search results

  1. U

    Mjadala wa kujitenga kwa Zanzibar ni mgumu kuliko kujadili kuuimarisha muungano...

    mimi naona kwanini usiseme zanzibar ya nyerere ya saivi
  2. U

    Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

    usijali iyo ramani hata wewe unaweza kuangalia kupitia goole na kuzidisha unachotaka mwenyewe
  3. U

    Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

    umeme hamtugaii bure na istoshe laini yetu mmeiunganisha na viwanda vilivyoko tanganyika kwa maana hiyo hakuna faida tunayopata wakati tumeharamia kila kitu wenyewe na vile vile minerals za tanganyika hatupati kitu hata cent jamani angalieni muungano tunatakiwa tupate 4.5 sasa inakuaje uje...
  4. U

    Ramani - Tanzania baada ya kuongezewa kilomita 241 baharini

    nyinyi watanganyika wenye sera hizi mshalaaniwa hajijui tu dhulma itakurudia mwenyewe suburi tu:lol:
  5. U

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    Don’t they ever learn? WATANAYIKA :eyebrows: What the Representative Ismail Jussa was trying to do was to teach our Big Brother another lesson, and the mainland-based Swahili newspaper dares to ask him to apologise to Prof Tubaijuka? I think it is Prof Tubaijuka and the Union Government...
  6. U

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    msijifanye hamujui huyu kaambiwa achie ngazi kutokana na sifa za nchi yake iliyojaa dhulma na sera zake za ubinafsi wa Tanganyika kwa kuvaa koti la Tanzania kashindwa kueleza ni muungano wa aina gani katika jamhuri yao ya Tanzania sasa mtu kama huyu ataweza vipi kutumikia umoja wa mataifa . aje...
  7. U

    Tangia Jussa amtukane Sita...

    wewe ndo juha hamuwezi kukurupuka tu kwenda kuomba ongezeko la bahari mujue kuwa suala la mafuta ndio linaloleta mgogoro saivi ndio maana hamutaki kutuachia na muungano feki. sasa iweje hizi ni nchi mbili zilizoungana na Zanzibar tuna mipaka yetu na tanganyika mna mipaka yenu ? na kama...
  8. U

    Tangia Jussa amtukane Sita...

    huo ujanja wenu tunaujua hata kikwete akiwa umoja wa mataifa anesma kuwa tanzaniz ni muungano wa nchi mbili lakini zote hizi zinasherkea uhuru wa tanganyika jee amesahau kuwa znz ina uhuru wake kamili ambao mnaupoteza mtakuja kujuta nyinyi watanganyika tonge itakutokeeni puani
  9. U

    Tangia Jussa amtukane Sita...

    wewe ndo juha hamuwezi kukurupuka tu kwenda kuomba ongezeko la bahari mujue kuwa suala la mafuta ndio linaloleta mgogoro saivi ndio maana hamutaki kutuachia na muungano feki. sasa iweje hizi ni nchi mbili zilizoungana na Zanzibar tuna mipaka yetu na tanganyika mna mipaka yenu ? na kama mnafikiri...
  10. U

    Zanzibar: Rais atia saini miswaada mitatu - Spika

    hayakuhusuni hata tukiuza zanzibari yetu si hayo tu mbona mnangangania muungano ?
  11. U

    Wasemavyo wazanzibari

    Zanzibar suala la Muungano ndo jambo kubwa linalozungumzwa Visiwani. Muungano unajadiliwa mijini, vijijini na kwenye vitongoji Unguja na Pemba. Ukiwasikiliza wananchi wa huko utawasikia wanataka irejee Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ikiwa ni dola kamili iliyo huru ikiwa na funganisho na...
  12. U

    Zanzibar is number one duniani as most corrupt inatia kichefuchefu...

    Mamia ya nyumba zilizojengwa kando kando ya barabara ya Arusha-Namanga zimebomolewa kwa nguvu na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Arusha, chini ya ulinzi mkali wa askari wa jeshi la polisi waliokuwa wamebeba silaha nzito. Waandishi wa habari waliofika katika eneo la tukio...
  13. U

    Zanzibar is number one duniani as most corrupt inatia kichefuchefu...

    kwa hiyo unamaananisha kuwa TANGANYIKA hakuna rushwa ? hahahahahahah.Kuna siku nakumbuka nilikua dar kwa bahati nilikuta makochi ambayo niliyapenda sikuweza kusita ilibidi niyanunue tu.Lakini nilijuta roho nafsi yangu...
  14. U

    Kumbe Rais wa Muungano akiwa Zanzibar yuko chini kwa Rais wa Zanzibar

    je jamani huu ni muungano wa aina gani hii ikowapi serikali yenu ya tanganyika ?????
  15. U

    Kumbe Rais wa Muungano akiwa Zanzibar yuko chini kwa Rais wa Zanzibar

    Zanzibar suala la Muungano ndo jambo kubwa linalozungumzwa Visiwani. Muungano unajadiliwa mijini, vijijini na kwenye vitongoji Unguja na Pemba. Ukiwasikiliza wananchi wa huko utawasikia wanataka irejee Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ikiwa ni dola kamili iliyo huru ikiwa na funganisho na...
  16. U

    Wasemavyo wazanzibari

    Kwa hakika, baadhi ya wanasiasa mashuhuri wa Tanganyika nao walifanya jaribio la kuifanya nchi yao iwe na serikali yake ndani ya Muungano. Jaribio hilo halikufika mbali kwani Mwalimu Julius Nyerere alitumia nguvu zake za turufu na kulizima suala hilo.
  17. U

    Wasemavyo wazanzibari

    muungano wa tanzania ni wa nchi mbili TANANGAYIKA NA ZANZIBAR mnatia huruma sanaaaa kuona mmefuta tanganyika yenu zanzibar itaendelea kuepo milele .muungano hatutaki wa aina hii nyinyi msitunganganie mnatudhulumu leo hii mnasema nyinyi mnatufadhali someni vijana msipige zogo tu angalieni...
Back
Top Bottom