Search results

  1. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    U Ushauri mzuri sana.Hili suala la kuchanganya miungu Lipo kwa watu wengi hasa jamii zetu za Afrika hususani Tanzania.Kumchanganya Mungu na miungu ni sawa na maji na mafuta ambavyo huwa havichangamani. Mungu anachukizwa na hali ya namna hii,ukishaanza kwenda huko kwa waganga na wachawi,basi...
  2. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kwa jinsi ambavyo nimeshaona mauzauza hilo jambo siyo is kawaida.Halafu siku hizi Naona maajabu ya nyoka kuingia ndani yameongezeka, kuna watu wengine pia wameona matukio kama haya. Hao nyoka wanaweza kuwa ni mizimu, majini wanaotumwa na wachawi ili kuja kuharibu maisha ya kiroho ya watu wa...
  3. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Pole sana.Kwanza soma somo la Maagano, Madhabahu na Mamlaka vizuri, baada ya hapo utapata mwanga, kisha njoo tena tuzungumze; maana yote uliyoyazungumza yapo humo kwenye hayo masomo. Roho ya kukataliwa na kuchukiwa, ni hizo madhabahu na maagano ya huyo mtu wenu unayemhisi kuvuruga familia...
  4. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Karibu sana,PM yangu iko wazi.Njoo tusemezane faragha.
  5. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amen. Karibu sana wakati wowote niwapo katika madhabahu hii tutajulishana mambo kadha wa kadha kuhusiana na ufalme wa mbinguni maana umekaribia kuhitimishwa kwa sehemu ya kwanza.Yesu karibu arudi hivyo lazima tuwe na maandalizi binafsi ili atakapokuja tupate wasaa wa kumjua na kumlaki mawinguni.
  6. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hkika Hakika kabisa.Kuna jambo analazimisha kulifanya wakati anaambiwa ajifunze kwanza lugha ya kuongea na Mungu (Kiswahili),darasa ni kujifunza. Darasa la hesabu, ni mipango yake mwenyewe, anamahesabu ya kufanya kitu ambacho siyo sahihi kwa wakati huu. Anatakiwa aombe maombi ya toba na...
  7. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kelvin "hanaga "choyo na ubinafsi mara nyingi huwa anapenda kuwaalika watu wengine wapate chakula cha kiroho.Mungu akubariki sana🙏🙏🤝🤝.
  8. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hapa kwako kuna changamoto ya kazi unayoifanya. Umerithi maana yake si wewe uliyeaianzisha. Kama umeweza kusoma somo langu la madhabahu za ulevi unaweza kupata baadhi ya majibu ya maswali yako. Kuhusu kazi ya bar na kuuza pombe,huwezi kusimana katika maombi na ukafanikiwa sawa sawa kama Mungu...
  9. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kwa kifupi tu.Kukosa kwako amani ndio mwanzo wa kuanza kujichunguza na kuchunguza kiroho chako,huenda muda wa wewe kukaa hapo umeisha unatakiwa kwenda sehemu nyingine. Au umeibiwa upako wako na watu wengine. Ila cha msingi jitenge kwanza na mahali hapo unapoabudu ili ujue chanzo cha wewe...
  10. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ubarikiwe sana Mwalimu kwa hii tafsiri. Inaonyesha ni jinsi ambavyo Roho wa Mungu anafanya kazi ndani yako.Nimejifunza kitu pia kwa kupata tafsiri ya ndoto yake ya pili.Ahsante.
  11. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Naomba mnisamehe hapa nimejikuta nimewachanganya japo kila mmoja nimemjibu swali lake.Samahani sana,bado sinamaster hii version mpya.Ahsate.
  12. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ebu kuwa mkweli hapa,unataka kuoa🙂? "Maana kuna jambo unataka kulifanya ila kimsingi bado hujajiandaa kulikabiri." Unaambiwa mbona bado? Ile kuota unataka kufanya mtihani ila bado hujajiandaa. Halafu unalazimisha unatakiwa uende darasa la Kiswahili lakini unaenda kwenye Hesabu hadi Mwalimu...
  13. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ahsante Ndoto yako ya pili ni onyo kutoka kwa Mungu kwamba madhabahu isiyoruhusu maombi siyo sehemu sahihi,siyo sehemu sahihi ya wewe kuabudia. Madhabahu inaweza kuwa ni wewe mwenyewe au mahali unapoabudia. Kwamba ikiwa ni wewe basi unasali tu kimwili pasipo kufanya maombi yako binafsi na Mungu...
  14. 7seven

  15. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hapa unahitaji kuomba maombi ya tofauti na maombi ya zamani.Unatakiwa kumuomba Roho Mtakatifu baadhi ya mambo yafuatayo:- 1.Nguvu Mpya ya maombi. 2.Urejesho mpya.(Urejesho mpya baada ya ule wa awali kuondoka). 3.Ujazo Mpya wa Kiroho kutoka kwa Roho Mtakatifu ili uwe na mambo mapya ambayo...
  16. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Samahani bado sijapewa kibali cha kutoa namba yangu kwa ajili ya mawasiliano na watu nje ya Jf. Siku nikiruhusiwa;nitakupatia usiwe na shaka. Ahsante.
  17. 7seven

  18. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hii version mpya ya Jamii Forum inanizingua sijui kama ninapatia kuandika vizuri.Hongera kwa kuona upande ulio mzuri na sahihi. Usiache kuendelea kuuamini maana upande wa Nuru hauna majuto daima japokuwa njia zake ni zile zilizonyooka, hazina mkato mkato.Hivyo uonekana kuchelewa kuleta...
  19. 7seven

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ni mambo mengi hujitokeza kulingana na eneo ulilopo, kitu unachokiombea na hali uliyoingia nayo katika maombi. 1.Kuhisi ubaridi wa mwili. 2.Kupata amani ya moyo na furaha wakati wa maombi. 3.Kuomba pasipo kutumia nguvu lakini unapata hamasa ya kuendelea kuomba pasipo kuchoka. Unaweza kuomba...
Back
Top Bottom