Search results

  1. A

    Kiwanda cha kukamua alizeti

    Kuna kiwanda kidogo cha kukamua alizeti mjini Morogoro. Uwezo ni kukamua tani 6 kwa saa 10, hivyo kwa siku nzima ya saa 24 ni kukamua tani 12 hadi 14. Mafuta yanachujwa mara mbili. Wanatafutwa watu au mtu mwenye uwezo wa kuleta mbegu za alizeti zikamuliwe hapo kuanzia msimu wa alizeti wa mwaka...
  2. A

    siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

    Toka kwa Alizeti Kwenda kwa Joseph Isaac Naomba nikupe namba zangu za simu ili nami niweze kuhudhuria mafunzo hayo ya ujasiriamali kama ulivyo eleza. 0754769699 na 0784769699. Nipo Morogoro Manispaa Ahsante
  3. A

    siri ya jinsi ya kujiajiri!!!

    Ni mpango mzuri endapo utatekelezwa. Shirikisha wataalam wa fani muhimu katika kuanzisha biashara binafsi na fursa mbalimbali zinazoweza kupatikana. Nitapenda kushirikishwa kama mjasiriamali mdogo
Back
Top Bottom