Search results

  1. T

    Bolt/Uber kwa sasa kipande bei gani kwa siku?

    Baada ya kupigika mno, nimeomba gari ya mtu walau nijipatie pesa kidogo kusogeza siku mjini! Gari niliyopata ni Passo, 3 piston n'a cc990 Jamaa ananiambia anataka nimpatie hesabu ya 40k kwa siku, mafuta juu yangu! Wenye ujuzi niambieni, hii imekaa sawa? Kwa hesabu hii ninaweza kupata hesabu ya...
  2. T

    Baadhi ya wanaojiita "watumishi wa Mungu" wadhibitiwe ni wezi kabisa kwa mgongo wa Imani

    Nimekaa na kutafakari sana baada ya kukutana na mama mmoja maeneo ya mitaa ya katikati ya mji wa Morogoro. Huyu mama ana mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 15-17, kwa maelezo ya mama yake ni kwamba kijana wake amelazimika kuacha shule kutokana na kukumbwa na maradhi yasiyoeleweka...
  3. T

    Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Kigoma tangu 2020, tulikutana chuo, na penzi likakolea haswaa! Kipindi cha Covid penzi lilinoga zaidi kwani "Working from home" ilifanya muda wote tuwe pamoja, ilikuwa mwendo wa kwenda sokoni kununua mazaga zaga pamoja, tinaweka ndani then kila baada...
  4. T

    Clearance letter ya bodi ya mikopo

    Mliowahi kurejesha mkopo wa loan board, tangu kulipia mpaka kupewa clearance letter inachukua muda gani? Kwa wenye uzoefu tafadhali, naomba mrejesho!
  5. T

    Mkiachana vizuri ni raha sana!

    Nimekaa nikitafakari mapito ktk maisha, kama ilivyo ada kuna kupanda na Kuna kushuka! Nilikuwa nimepigika ile mbaya, sina hata 10,000 nikaangalia ka premio changu hakina hata mafuta, basi nikatoka zangu kwenda kitaa nipate walau bia moja kustua brain! Nikawacheki washkaji walau wani-boost...
  6. T

    Naamua kuoa sasa, kuijenga ngome yangu, ila nimuoe yupi kati ya hawa?

    Moja kwa moja kwenye mada... Baada ya kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na wanawake tofauti tofauti sasa naamua kuoa nitulie zangu nikiusubiri uzee hapo baadaye, lakini inapokuja swala la kumuoa nani napata kizungu zungu 1. Huyu niliwahi kuwa naye kwenye mahusiano, wiki moja tu baada ya...
  7. T

    DOKEZO Tahadhari kwa wanaonunua viwanja kupitia kampuni ya Ardhisol - Morogoro

    Kampuni ya Ardhisol ni moja ya kampuni zinazofanya shughuli za upimaji wa maeneo! Hawa jamaa wamekuwa wakizunguka kwa wananchi na kuwashawishi wawape viwanja kwa ajili ya kuvipima, na wao hutangaza kuviuza ilhali wenye maeneo yao walishauza kama squatter! Kuna maeneo mengi ya mtaa wa...
  8. T

    Ushauri wenu tafadhali, Ardhi huua

    Moja kwa moja kwenye mada, itifaki imezingatiwa! Mwaka 2018 nilinunua kiwanja maeneo ya mtaa wa mawasiliano, Mkundi -Morogoro! Baada ya kununua na kuandikishana kupitia serikali za mitaa niliendelea na shughuli zangu hapa nchini. Mwaka 2020 walioniuzia wakaamua kupima viwanja kwenye maeneo...
  9. T

    Mapenzi na vimbwenge vyake, daaah!

    Bila kupoteza muda niende kwenye mada! Miaka kadhaa iliyopita jamaa (tumuite J) alikuwa na mahusiano na binti (tumuite MG) binti alimpenda sana J kiasi kwamba alikuwa radhi kufanya chochote kwa ajili ya J, ila J alimuona MG kawaida sana! Baada ya MG kuona âge inasonga, n'a J haonyeshi dalili...
  10. T

    Kama hujui kiingereza tumia tu kiswahili

    Mtu unaandika "I play four you" halafu unaweka public kabisaaa? Na bado unatembea kifua mbereeee..(in Maguz tone) Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
  11. T

    Wanahitajika vijana 4 haraka!

    Wanahitajika vijana wanne 4, umri miaka 16-22, watakaa kwangu, (baada ya kufahamiana vema na wazazi/walezi wao) Watakuwa na kazi ya kuuza matunda kwa kutumia matoroli, baada ya mimi kuweka mtaji na kuwapatia vifaa vya kazi,tutakuwa tukigawana faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji...
  12. T

    Dunia na maajabu yake, hivi viongozi wetu mnaona elimu ya hivi ni sawa?

    Juzi ijumaa nilimtembelea mpwa wangu shule ya sekondari MGULASI, hii ni shule ya kata ya CHAMWINO iliyopo Manispaa ya Morogoro! Nilienda kupata ufafanuzi wa maendeleo mabovu ya huyo mpwa wangu, nilipofika nikaona msingi uliochimbwa na kutelekezwa (inaelekea ilikuwa ujenzi wa madarasa, lakini...
  13. T

    Nimfuate au nikomae tu?

    Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho) Sasa ameingia jijini kama siku 4...
  14. T

    Kwa Wenye uelewa na hii vitu naomba kujua kutoka kwenu!

    Natumai nyoooote hamjambo kabisa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada na mnieleweshe ndugu zangu! Nilienda Kigoma kumcheck bro yangu, nikakutana na huyu shem bhana, (bro hayupo kwa miezi kadhaa) lakini shem akaniuliza huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Je, ni sexual transmitted...
  15. T

    Nakutafuta sana popote ulipo Queen Elias, Mshindo, Erasto Chang'a, Eddo, Filbert na Martha Luoga

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna rafiki zangu wa kitambo sana enzi za O level 2006/2007 shule ya sekondari HIGHLANDS- IRINGA, tulipotezana kiasi cha kutoonana tena mpaka leo, nimewatafuta sanaaa kwa namna nyingi lakini sijafanikiwa, yawezekana baadhi wakawa hapa jukwaani, Tafadhali...
  16. T

    Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi! Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa ni mke wa kuishi naye kwenye shida na raha au anakuja kushiriki tu kwenye matumizi ya pesa zangu...
  17. T

    Haya mambo usiombe yakukute, tunamsaidiaje huyu?

    Ni rafiki yangu tumejuana miaka kadhaa iliyopita, anaishi na mwanamke ila hawajafunga ndoa, though ana watoto naye, wawili... Kimbembe kinakuja, pamoja na kuwa na huyo mke ambaye hajafunga naye ndoa, bado alikuwa anachepuka na mdada mwingine wa Kigoma huko (Muha), baadaye muha naye...
  18. T

    Friends karibuni sana kwa sherehe kesho!

    Kesho tutakuwa na mahafali ya postgraduates hapa UDSM, mimi na rafiki yangu (foreigner) tutakuwa na sherehe fupi majira ya jioni, bahati mbaya hatuna marafiki wa kujumuika nasi kutokana na interaction ndogo kwenye physical environment! Kwa walio tayari, (walau 3 females) walio na hobby ya...
  19. T

    Wageni kununua ardhi kienyeji; Hivi kweli hatupo serious kiasi hiki?

    Nimeumizwa sana na hili jambo, hivi kweli kwa dunia ya leo anatoka mtu Comoros anakuja Tanzania, anakwenda ndani ndani huko mkoani, ananunua ardhi (kienyeji kabisa, kama ambavyo sisi watanzania tunanunua) sio kwa ajili ya uwekezaji, kama sheria inavyotaka, then watu wanakenua tu meno huku ardhi...
  20. T

    Mjifunze kuachana kwa amani kama hivi

    Imekuwa kawaida ya watu kuachana kwa fujo, magomvi na wakati fulani matusi, lakini Kuna namna unaweza kuitumia mkaachana bila ugomvi wala kuparurana kama hivi...
Back
Top Bottom