Search results

  1. Ozzie

    Tomahawk Mist Duster TMD14 zinauzwa

    Bei: Milioni 3.8 Zinafaa kwenye korosho au fumigation majumbani. Description The Tomahawk Backpack Mist Blower is perfect for applying pesticides in small orchards and vineyards or for pest and parasite control in greenhouses, and ranches. The TMD14 improves plant protection and chemical...
  2. Ozzie

    Pata Original XiaoMi (Mi) Power Banks kwa bei nafuu

    Xiaomi (au Mi) power banks, ni kati ya power banks tatu bora zaidi duniani. Jipatie ORIGINAL Mi power banks (Kila moja ina security code iliyofichwa ya kuhakiki kama original, kupitia mtandao wao wa Xiaomi). Zinapatikana Dar es Salaam, mkoani utagharamia usafiri mwenyewe. Bei:5200mAh ni...
  3. Ozzie

    Wakwepa Kodi Wanyongwe

    Natamani kungekuwa na sheria kama hii. Ukikwepa kodi wafilisiwa na kutiwa kitanzi. Inakuwaje wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi, wakati mimi kamshahara kangu kanapigwa panga 33% kila mwezi na siwezi kulalamika au kukwepa.
  4. Ozzie

    Hawa hulipwa mishahara ya serikali bure

    Kuna baadhi ya wafanyakazi walioajiriwa serikalini, hawana impact kwa jamii. Hawa hata wasipoajiriwa hakuna kitakachoharibika. Mfano: 1. Kuna hawa huitwa maafisa habari wa jiji, halmamashauri na manispaa. Wamelala sana. Sijui kazi yao ni nini. At least wangekuwa kipaumbele kutoa taarifa za...
  5. Ozzie

    Kushuka Thamani Shilingi: Sasa Benki zichunguzwe

    Ukiacha sababu nyingi zinazotajwa kuchangia kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania; baadhi ya watu, akiwamo Zitto Kabwe walizungumzia ushiriki wa benki za kigeni, katika kushusha thamani shilingi yetu. Ni wakati muafaka wa hili kuchunguzwa, na pale penye kosa benki husika zilipe hasara...
  6. Ozzie

    Kukausha Hazina: Kikwete na Mwinyi wanajisikiaje?

    Naona tumekuwa na vicious cycle. Kuna watu wanakusanya; na kuna watu wanatapanya. Alianza Mwinyi kutapanya, akaja Mkapa kukusanya. Akafuata Kikwete kukausha, sasa Magufuli kapewa kazi ya kukusanya. Kwa mtiririko huu nina hofu baada ya miaka 10 tutapata mtu wa style ile ile ya kutapanya...
  7. Ozzie

    Fanya haya ukikutana na daktari

    1. Usidanganye/ 2. Mpe daktari sababu za kumtembelea. Kawaida sababu ni dalili, na si jina la ugonjwa udhaniao wakusumbua. Mfano kuna tofauti kubwa mtu akienda kwa daktari akasema ninajisikia viungo kuuma, mwili kuwa wa moto, kutapika na kukojoa sana; ukimfananisha na yule atakayesema dokta...
  8. Ozzie

    Maintainance kwa mashine inayoleta hasara! Cost sharing iendane na hali halisi

    Kwa muda mrefu sasa vipimo vya CT Scan Na MRI Muhimbili vyatozwa kwa bei ndogo sana. Nakumbuka mwaka 2011 bei ya CT Scan Muhimbili ilikuwa 170,000/= na kushushwa hadi kuwa 50,000/=. MRI ilikuwa 250,000/= na kushushwa kuwa 100,000/=. Maamuzi haya yamekuwa yanafanywa kisiasa mno, lakini uliza...
  9. Ozzie

    Tusidanganyike - Trevo haiponyi Ukimwi

    Kuna wafanyabiashara wasio waaminifu wanauza virutubisho viitwavyo Trevo. Soko lao kubwa ni waathirika wa UKIMWI. Kwa bahati mbaya sana, wengine wanatumia uwongo ili kupata wateja wengi kwamba Trevo inaponya UKIMWI. Baadhi ya wagonjwa wameambiwa wanapaswa kutumia chupa 36 za Trevo ili kupona...
  10. Ozzie

    Ufafanuzi wa Tume ya Uchaguzi kuhusu vituo vya kura haujitoshelezi

    Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, takribani watu 23,700,000 wameandikishwa kupiga kura. Watu hawa wanategemewa kupiga kura katika vituo 72,000 huku kila kituo kikikadiriwa kuchukua watu wasiozidi 450. Kwa mtu wa kawaida kama mimi ukisema kila kituo kitakuwa na watu 450 (exactly)...
  11. Ozzie

    Baada ya Kupiga Kura: Sheria ipi inatoa haki ya kukaa umbali mita 100 au 200?

    Nimejaribu bila mafanikio kutafuta kifungu cha sheria kinachoniruhusu kukaa jirani na kituo cha uchaguzi baada ya kupiga kura, yaani mita 200 kama NEC wasemavyo au mita 100 wasemavyo UKAWA. Msaada
  12. Ozzie

    Tafiti kupingwa kwa Tafiti?

    Watanzania tunatumia sana hili neno kwamba tafiti lazima zipingwe kwa tafiti!!! Nani katudanganya? Kwanza kabla sijaikubali tafiti, ni lazima niangalie methodology yake. Ikiwa hovyo hata majibu yake yatakuwa hovyo. Methodology ikiwa safi na majibu yake yakawa yasiyotarajiwa, hapo ndipo ama...
  13. Ozzie

    SBT Japan mnaboa kwa simu

    Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara. Je, unapata kadhia hii?
  14. Ozzie

    UKAWA wanakatisha tamaa

    Binafsi naamini katika mabadiriko. Nataka political levelling. Nilijua vyama vya upinzani baada ya kupata nafasi ya kumsajili Lowassa, basi vingekuja kwa kasi kubwa. Lakini naona kama vile havikujiandaa. Ni kama kapuku kaokota bonge la dhahabu. Hakuna habari, hakuna taarifa, hakuna ofisi...
  15. Ozzie

    Mwongozo wa kununua gari iliyotumika

    Unapotafuta kununua gari iliyotumika (used/second), uamuzi wa kujua gari ipi itakufaa utategemea mahitaji, bajeti, na mapenzi yako binafsi. Haya ni baadhi ya maswali yanayoweza kukuongoza kufikia maamuzi sahihi: Je, itakuwa ni gari pekee au una gari nyingine ambalo litakuwa na matumizi...
  16. Ozzie

    Lowassa, Je, wewe ni yule anayekuja, au tumngoje mwingine?

    Kwa ndugu zangu wanaosoma biblia, nilikuwa ninasoma kitabu cha Mathayo 11. Nikafikiria sana uwiano wa habari za Yesu na Yohana Mbatizaji na Lowassa baada ya kufika kwenye hizi aya: N.B: Truly speaking, sioni kama Lowassa ana afya nzuri kwa sasa, anasahau hata maneno anayotaka kuongea (sijui...
  17. Ozzie

    Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Wanabodi! Kuna email ya shukrani imetumwa na Lowassa kwa baadhi ya wafuasi. Si mbaya, lakini haitoi hatima yake kwa sasa, na bado anahitaji maombi yenu. Tumuombee.
  18. Ozzie

    Kulikoni TRA Kila siku mtandao shida

    Huwa sielewi kwa nini TRA huwa na shida ya mtandao kila siku. Au ndio kufanya kazi kwa mazoea?
  19. Ozzie

    Female business partner: Pharmacy - Dar es Salaam

    Anatafutwa business partner wa kike na mwaminifu, kwa ajili ya kuanzisha Pharmacy jijini Dar es Salaam. Eneo limepatikana, mita 9 kwa 8. Mtaji wake usipungue million 20 na pia lazima awe mkazi wa kudumu wa Dar es Salaam. Umiliki utakuwa ni 50%|50%. Partner mwenzake ni mtumishi wa afya. Sitoweza...
  20. Ozzie

    Ati nini? Nikae njia kuu?

    Nikae njia kuu? Kwani mimi treni?
Back
Top Bottom