Search results

  1. Mwachiluwi

    Mfungo mgumu sana

    Hi Leo mchna nikiwa nimetulia kaja Jamaa mmoja hivi mpemba tunapiga story najua anafunga gafla anaomba nynya na kitunguu na chumvi akidai njaa nikampa baada ya muda nasikia anaomba mboga tukamuuliza ujafunga kwahiyo Alichojibu tulibaki mdomo wazi et hawezi mkewe anajua anafunga na katupa...
  2. Mwachiluwi

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua. Nini kifanyike?
  3. Mwachiluwi

    Gender ni mbaya sana imetengeneza ubaguzi

    Ki ukweli ukweli tuseme gender imetengeneza ubaguzi mkubwa sana kuna vitu unatamani kuvifanya ila gender inakubana inakukataza Gender human creates. ==== Maoni zaidi kuhusu mada hii
  4. Mwachiluwi

    Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

    Morng Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga. Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna...
  5. Mwachiluwi

    Acheni kutumia vitunguu saumu kama dawa ya kukata harufu mdomoni pigeni mswaki

    Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana. Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
  6. Mwachiluwi

    Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

    Hellow Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha...
  7. Mwachiluwi

    Mliowahi kununua vitu kupitia Alibaba naombeni mwongozo

    Hellow, Mlio wahi kuagiza vitu kupitia alibaba hali ipoje je ni kweli bei ina uhalisia na je mzigo uwa unachukua muda gani kukufikia yaani ki ujulma nataka kujua zaidi usalama uaminifu na muda wakupokea mzigo.
  8. Mwachiluwi

    Hii ina maana gani ni positive au negative?

    nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
  9. Mwachiluwi

    when you come to Dar es Salaam, do not wish to leave without reaching the fishermen's camp

    morng Its weekend again 26/08/2023 ni siku ya vibe nikualike au nikukumbushe wewe ambaye unatamani kutoka leo na upajui wapi kwa kwenda lakini pia wewe ni new comer in Dar es salaam unahitaji kutoka na ujajua ni sehemu gani mzuri ya kwenda kuondoa stress bas sehemu ni moja tu WAVUVI KEMP pale...
  10. Mwachiluwi

    Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  11. Mwachiluwi

    Hadithi: Dada Jesca

    Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori...
  12. Mwachiluwi

    Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha. Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye siku hiyo mzuka wako unakata kabisa unakaza kutoa kufuli na ukitoa unasema huyu amalize aende zake...
  13. Mwachiluwi

    Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

    Mko poa Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe. Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
  14. Mwachiluwi

    Hadithi Ndoa yangu inanitesa

    NDOA YANGU INANITESA Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha...
  15. Mwachiluwi

    Fahamu maana ya Defence mechanism na aina zake

    Hellow Africa Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache. Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain. Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira. Types of defence mechanism...
  16. Mwachiluwi

    Tetesi: Richi Mitindo na Jackline Wopler wameachana

    Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie. Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe akaja kukutana wanaitana bby na mwanaume mwezie hakuamini. Alijaribu kuvumilia akashindwa akaenda...
  17. Mwachiluwi

    Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

    Hi 👋 Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
  18. Mwachiluwi

    Hadithi fupi ya mapenzi

    SIMULIZI FUPI, LOVE STORY Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa. Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka...
  19. Mwachiluwi

    Kudate na mwanamke wa JamiiForums inahitaji moyo

    Good afternoon, Kudate na mwanamke hapa JF inahitaji moyo hasa njemba za hapa JF wanamtania na yeye anafurahia utani kiasi kwamba unajua hapa sio kabisa anajichekesha hapa jukwaani ata ukija huku pengine samahani nyingi. Kwakweli ni stress kama Mimi hivi wivu umenifanya niachane nae siwezi tena.
  20. Mwachiluwi

    JF wakosoaji sana

    JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa. Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
Back
Top Bottom